Embu toa mfano hai kwanza, wachezeje? Kakideo kidogo tafadhaliHivi nyie wanawake kwa nini mkiwa mnacheza mziki lazima muyatikise makalio yenu na kuinama inama hovyo?
Mnafanya hivyo ili iweje sasa?
Ina maana stail zote hamjaziona isipokuwa hiyo tu?
Tena mbaya zaidi utakuta mkiwa mnatikisa hayo makalio mnakuja kushikwa shikwa na watoto wadogo sana na watoto zenu au wadogo zenu
Badilikeni bhana ,kuweni na staha kwa wale ambao ndio tabia yenu hiyo.
Kama unatakaka hivo wafuate makanisani, sasa wewe unaenda club halaf unataka wacheze kwa heshimaWacheze kiheshima
Waangalie wamama waliostarabika wakiwa wanacheza mziki na dress code yao mpaka unafurahi
Inaitwa Loi ila inatamkwa LwaaHivi albam yenye wimbo huo inaitwaje? kuna wimbo mmoja koffi akiwa na mtoto mkali sana ndani.
Ukiona wanayatikisa wewe ondoka tuache sisi tunaopenda yakitikisika tuyaangalie.
acha uboya kijanaHivi nyie wanawake kwa nini mkiwa mnacheza mziki lazima muyatikise makalio yenu na kuinama inama hovyo?