Hivi wanawake hamna stail nyingine ya kucheza mziki bila kutikisa makalio yenu na kuinama inama ?

Hivi nyie wanawake kwa nini mkiwa mnacheza mziki lazima muyatikise makalio yenu na kuinama inama hovyo?

Mnafanya hivyo ili iweje sasa?

Ina maana stail zote hamjaziona isipokuwa hiyo tu?

Tena mbaya zaidi utakuta mkiwa mnatikisa hayo makalio mnakuja kushikwa shikwa na watoto wadogo sana na watoto zenu au wadogo zenu

Badilikeni bhana ,kuweni na staha kwa wale ambao ndio tabia yenu hiyo.
Embu toa mfano hai kwanza, wachezeje? Kakideo kidogo tafadhali
 
unataka watikise nini labda au wamekuibia style yako yakutikisa makalio
 
Wacheze kiheshima

Waangalie wamama waliostarabika wakiwa wanacheza mziki na dress code yao mpaka unafurahi
Kama unatakaka hivo wafuate makanisani, sasa wewe unaenda club halaf unataka wacheze kwa heshima
 
Hivi nyie wanawake kwa nini mkiwa mnacheza mziki lazima muyatikise makalio yenu na kuinama inama hovyo?

Mnafanya hivyo ili iweje sasa?

Ina maana stail zote hamjaziona isipokuwa hiyo tu?

Tena mbaya zaidi utakuta mkiwa mnatikisa hayo makalio mnakuja kushikwa shikwa na watoto wadogo sana na watoto zenu au wadogo zenu

Badilikeni bhana ,kuweni na staha kwa wale ambao ndio tabia yenu hiyo.
acha uboya kijana
 
Back
Top Bottom