Hivi wanawake hamuwezi kulia taratibu?

Hivi wanawake hamuwezi kulia taratibu?

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Kuna wasichana wanamakusudi sana,Wanajua kabisa
wewe unaishi Uswahilini na chumba unacho kaa
hakina siling-Bodi ila cha ajabu sasa badala ya "kutoa
chozi" kuendana na Mazingira wao Wala
Hawajali...

Mtu anapiga Yowe Utadhani Anakeketwa
Na Rula,Vyumba Vya jirani Hawalali Maana Hilo Yowe Lake Ni shida..

Hivi Hamuwez Kulia Taratibu Kulingana Na Mazingira?

Mbona Hata Tv Ina remot jamani.. Halafu wengi wenu
vilio vyenu sio vya kweli ni Copy And Paste...

Mtu anarudia script Ya kulia Nusu saa Maneno ni hayo hayo
tu... Yeah Hapo.. Yeah Yes hapo Yeah tamu hapo....
 
Ukikuta hivyo ujue yupo kazini akilia kidogo anapewa hela au kununuliwa vitu vya bei ya chini. Wengine wanakomoa tu
 
Sasa Si anakutaka na Wewe Asipoonyesha Mbwembwe Atakupataje Ukitaka....

Biashara Matangazo Bhana...
 
Anatangaza biashara... Hata majirani zako ni wateja wake. Siku ukisikia sauti kwa jirani vumilia na wewe
 
Back
Top Bottom