Hivi wanawake huwa hawaoni kero kuvaa mavazi yanayowatesa wenyewe?

Hivi wanawake huwa hawaoni kero kuvaa mavazi yanayowatesa wenyewe?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Unakuta mtu amevaa sketi fupi mwenyewe halafu anaanza kuivuta vuta chini akiwa anakaa au anatembea!
Au gauni linapeperuka anahangaika kulirudisha.

Wengine unukuta kavaa nguo/juba/dera kubwa mno la kupwa limepitiliza mpaka linaburuta chini halafu anaanza kushikilia tena kwa kuning'iniza mkononi muda wote kama mzigo!
 
Back
Top Bottom