Hivi wanawake huwa mna kasoro gani hata mliokwenda shuleni

Ndio ukute huyo mdada ni bosi wake, au wanajadili bonge la mradi ambao bwana wako anawasilisha na kuupigia debe akijaribu canvassing na tayari alikua amefaulu kumshawshi huyo dada ambaye ndiye afisa manunuzi.....hehehe
Hakuna kitu
 
Hakuna kitu

Kivipi labda, ukimkuta mumeo amekaa anaongea na mdada wasalimie wote na kama vipi mbusu mumeo kama ni suala tu la kutaka kulinda himaya yako, lakini usirudie hilo kosa la kumnyanyua mdada wa watu haujajuoa kipi wanaongea kuhusu.
 
Ninamfaham
Ningekuwa simfahamu labda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…