Hivi wanawake mnajisikiaje kwamba siku moja wazazi wako watakubadilisha na bidhaa?

Mimi mwanangu wa kike akiwa na chura bila ng'ombe mia moja haolewi ng'oooo!!
 
Inasikitisha sana mkuu....lkn cha ajabu kuna wanawake wanakuja wanasema et ni utaratibu na wameridhika nao
 
Ndio maana kimsingi inatakiwa mahari aseme mwenyewe bint. Kwenye Quran imeandikwa....na muwape zawadi zao.....ndio hii ndio mahari hasa. Yaani aseme mwenyewe kuwa anataka nini ili umuoe.

Wazazi wanabadilisha tu utaratibu hawatakiwi hata kugusa hiyo mahari ya mtoto wao. Labda akipenda mwenyewe kuwapa.
 
Vipi na wanawake wanaotoa mahari kwa wanaume mfano wahindi
 
Afadhar iwe hvo kama hicho kitabu kinavosema....at least heshima ya mwanamke na ukubwa wa tukio wa mwanamke kuacha wazazi wake na kuambatana na mumewe utaonekana
 
Inasikitisha sana mkuu....lkn cha ajabu kuna wanawake wanakuja wanasema et ni utaratibu na wameridhika nao
Huu utaratibu upo kweli ni wa kidini lakini sheria hazisemi mahari kuwa anapewa mzazi, mahari ni zawadi kwa muolewaji na mke/muolewaji ndio atakaetamka.
 
Ni ndani ya mada sababu kuna watanzania wenye tamaduni za kihindi. Kuna wasichana na wanawake pia kwenye hilo kundi
Kwa issue ipo sawa kwa pande zote mbili bs nao wanaingia kwnye kundi hili pia......still ni kautaratibu kabovu
 
Nimekupenda buureee safi sana nakupa heshima shikamoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…