Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Mimi mwanangu wa kike akiwa na chura bila ng'ombe mia moja haolewi ng'oooo!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Batter trade[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanawake msikubali hata kidogo. Yaani wanakufanyia better trade
Inasikitisha sana mkuu....lkn cha ajabu kuna wanawake wanakuja wanasema et ni utaratibu na wameridhika naoNgoja waje wajibu wenyewe
Ila ilibidi kwanza ijulikane maana hasa ya mahari, lengo la mahari, asili yake na mengineyo.
Watu wanaenda kinyume na mafundisho juu ya mahari hapo ndio tatizo hili linakuja wazazi kifanya mabinti zao kama sehemu ya kupata chochote kitu
Tulienda sehemu kupeleka mahari, tuliyoyakuta ni km komoa eti mama mtu anadai milion 7 kisa kasomesha, sijui mazagazaga gani na km fidia ya jamaa yangu kumzalisha mtoto wao, sasa mimi nikashangaa huyu mzazi mwanae anamuuza au anamuweka bondi!!?
Ikabidi nimueleze ukweli yule mama hiko ni kiwango kikubwa na anafanya km anamkomoa akisema alipwe kisa kasomesha kwahyo jamaa ndio anakuwa kanunua elimu ya binti, anakuwa kamchukua kimoja, yeye mzazi anakuwa hana nafasi tena, jibu ni la hasha!! Basi kikubwa hapa ni kuwaombea dua hawa vijana wakaishi vyema waje kukutunza na wewe mzazi.
ndio maana akasema kwa utaratibuUnauhakika kama sijaolewa? Maana au sababu ya kutoa hiyo mifugo/pesa si kama inavyodhaniwa na mtoa mada
Afadhar iwe hvo kama hicho kitabu kinavosema....at least heshima ya mwanamke na ukubwa wa tukio wa mwanamke kuacha wazazi wake na kuambatana na mumewe utaonekanaNdio maana kimsingi inatakiwa mahari aseme mwenyewe bint. Kwenye Quran imeandikwa....na muwape zawadi zao.....ndio hii ndio mahari hasa. Yaani aseme mwenyewe kuwa anataka nini ili umuoe.
Wazazi wanabadilisha tu utaratibu hawatakiwi hata kugusa hiyo mahari ya mtoto wao. Labda akipenda mwenyewe kuwapa.
hyo ni special caseVipi na wanawake wanaotoa mahari kwa wanaume mfano wahindi
Huu utaratibu upo kweli ni wa kidini lakini sheria hazisemi mahari kuwa anapewa mzazi, mahari ni zawadi kwa muolewaji na mke/muolewaji ndio atakaetamka.Inasikitisha sana mkuu....lkn cha ajabu kuna wanawake wanakuja wanasema et ni utaratibu na wameridhika nao
Ni ndani ya mada sababu kuna watanzania wenye tamaduni za kihindi. Kuna wasichana na wanawake pia kwenye hilo kundiNi nje ya mada......na wao watajadili kuhusu utaratibu zao huko huko
Barter tradeBatter trade
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] beer za weekend nilikuwa ata sioniBatter trade
sasa mjinga hapo nani aliyetoa ng'ombe kununua Mali ya wengi au aliyenunuliwa? unatoa ng'ombe sawa, lakini kwanza unakuta hana bikira na marinda hayamo, pili akikuchoka anachepuka, tatu ukifa anarithi Mali zako zote, nne anaweza beba mimba ya mtu mwingine ukalea, tano ni wajibu wako kumlisha na kumvisha lakini mnakula wengi, sita anaweza kukuletea ugonjwa Wa moyo, saba waulize wamachame........
Usijione mjanja wewe ndiye unaeliwa hapo sio wao! Unavyo mwaga shaha.... kwa mwanamke maanake una mmwagia hadi utajiri wako! Usiwadharau wanawake, wanawake ni taifa kubwa, akiamua kukupoteza ni dakika tu.
marahba kama huna Mme njoo pmNimekupenda buureee safi sana nakupa heshima shikamoo