Mbaya zaidi ukute una mkoko mkali demu kila siku anataka umrudishe/umfate mpaka anapoishi tena ikiwezekana ushuke uingie mpaka ndani na kama anaishi nyumba ya kupanga atataka uende mda ule ambao watu wamejaa hapo nje/uani.Mimi nilikuwaga mtu wa kupenda kufanya mambo kwa siri hata kama nakula kitu kikali lakini hawa watu wamenibadili mwisho wa siku nimezoea,
1.unamwambia mkutane kwenye kinjia ambacho hakina watu wengi lakini ataforce mpaka mpite njia ya watu wengi
2.utakula mzigo unapangilia kama ni jioni atoke kiza kimeshaingia lakini ataforce atoke mapema na umsindikize mpaka kituo cha basi
3.unamwambia siku ukiwepo peke yako nitakutembelea,anakudanganya ukienda unakuta yupo na watu kibao
Mapenzi hayana Siri.Mimi nilikuwaga mtu wa kupenda kufanya mambo kwa siri hata kama nakula kitu kikali lakini hawa watu wamenibadili mwisho wa siku nimezoea,
1.unamwambia mkutane kwenye kinjia ambacho hakina watu wengi lakini ataforce mpaka mpite njia ya watu wengi
2.utakula mzigo unapangilia kama ni jioni atoke kiza kimeshaingia lakini ataforce atoke mapema na umsindikize mpaka kituo cha basi
3.unamwambia siku ukiwepo peke yako nitakutembelea,anakudanganya ukienda unakuta yupo na watu kibao
ππππSiku hizi wengine eti wanasahau hadi kuvaa pichu..
Kwamba uuze sura na baharia tu. Mbona kazi,, wengine kuongozana na warembo kitaa ni RB πππTunapenda ile kuongozana, some of us hivyo ni lazima itafutwe means yoyote ile ili mradi tutembee tembee wote.
Binafsi uwa najisahaulisha makusudically
Ushachukua chumba...umelipia alaf wanataka wajue wewe mmewe..haaaah.... Wkt wewe unamchukulia mchepuko duhKuna vitu vengine huwa havimake sense kabisa mara kadhaa hv unakuta mnaenda sehemu ata sio mbali kutoka kituo mlichoshukia na hamna kona nying wala nn
Sasa gafla siju nyingine unampigia simu mkutane apo weekend kidume unatangulia unaweka mambo sawa gafla anafika anakupigia simu amefka unamwambia njoo apa tulipoachana siku ile anakwambia nimepasahau njoo unichukue kituon
Why this mnakuwa mmesahau kwel au mnajisahaulisha
Aaaaah aaaaahDah binafsi naweza nikaenda sehemu hata Mara mbili na Mara ya tatu nikasahau kabisa