Hivi wanawake ni wasahaulifu au huwa wanajisahaulisha

Hivi wanawake ni wasahaulifu au huwa wanajisahaulisha

Mimi nilikuwaga mtu wa kupenda kufanya mambo kwa siri hata kama nakula kitu kikali lakini hawa watu wamenibadili mwisho wa siku nimezoea,

1.unamwambia mkutane kwenye kinjia ambacho hakina watu wengi lakini ataforce mpaka mpite njia ya watu wengi
2.utakula mzigo unapangilia kama ni jioni atoke kiza kimeshaingia lakini ataforce atoke mapema na umsindikize mpaka kituo cha basi
3.unamwambia siku ukiwepo peke yako nitakutembelea,anakudanganya ukienda unakuta yupo na watu kibao
Inaitwa show off hapo inabid uwe makin sn kuna wengine huwa ni malaya ww unazurura naye kumbe watu wanakuona huna akili
 
Mbaya zaidi ukute una mkoko mkali demu kila siku anataka umrudishe/umfate mpaka anapoishi tena ikiwezekana ushuke uingie mpaka ndani na kama anaishi nyumba ya kupanga atataka uende mda ule ambao watu wamejaa hapo nje/uani.
aisee !! Kwel wanaume tuna kaz
 
Mbaya zaidi ukute una mkoko mkali demu kila siku anataka umrudishe/umfate mpaka anapoishi tena ikiwezekana ushuke uingie mpaka ndani na kama anaishi nyumba ya kupanga atataka uende mda ule ambao watu wamejaa hapo nje/uani.
Hii kweli kabisa, [emoji1] yamekukuta nini
 
Back
Top Bottom