MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
Yametokea Pasaka hii hapo Sinza.
Bwana na Bibi Saleh wakiwa wamejipumzisha jioni moja, ikaingia sms kwenye simu ya Mama ' We mwanamke mbona una roho mbaya Pasaka yote umekula mwenyewe hujaniletea mtoto nami nikae nae. Nakwambia niletee mwanangu kesho la sivyo tusijuane tena........'
Hii ni sms ilotoka kwa Mpemba kwenda kwa Mke wa Saleh.
Na ndio ilomfungua macho Mr. Saleh kuwa mimba aloilea, iliyomletea mwanae wa kiume (Baraka) haikuwa yake wala mtoto si wake ni wa Mpemba.
Mama Baraka akiulizwa anakimbilia kukoroma kwa nini mume ashike simu yake.
Source: Leo Tena Clouds FM. 16th April 2009.
Maswali yangu:
1. Wewe ni mke wa watu na umeolewa kwa nini ucheat?
2. Ok Umeamua kucheat ndo hadi ubebe na mimba jamani? Uroho/ ulafi gani huo? Unakula hadi unakomba mboga?
3. Haya basi imenasa, kwa nini umwambie huyo wa nje kuwa una mimba yake wakati unajua kabisa unae mumeo?
Basi mswada huo wa fidia kwa wale wataogungulika kulea watoto wasio wao walipwe fidia, upitishwe.

Last edited: