Hivi Wanawake tukoje?.......

Hivi Wanawake tukoje?.......

MwanajamiiOne

Platinum Member
Joined
Jul 24, 2008
Posts
10,470
Reaction score
6,580
Yametokea Pasaka hii hapo Sinza.

Bwana na Bibi Saleh wakiwa wamejipumzisha jioni moja, ikaingia sms kwenye simu ya Mama ' We mwanamke mbona una roho mbaya Pasaka yote umekula mwenyewe hujaniletea mtoto nami nikae nae. Nakwambia niletee mwanangu kesho la sivyo tusijuane tena........'

Hii ni sms ilotoka kwa Mpemba kwenda kwa Mke wa Saleh.

Na ndio ilomfungua macho Mr. Saleh kuwa mimba aloilea, iliyomletea mwanae wa kiume (Baraka) haikuwa yake wala mtoto si wake ni wa Mpemba.

Mama Baraka akiulizwa anakimbilia kukoroma kwa nini mume ashike simu yake.

Source: Leo Tena Clouds FM. 16th April 2009.

Maswali yangu:
1. Wewe ni mke wa watu na umeolewa kwa nini ucheat?
2. Ok Umeamua kucheat ndo hadi ubebe na mimba jamani? Uroho/ ulafi gani huo? Unakula hadi unakomba mboga?
3. Haya basi imenasa, kwa nini umwambie huyo wa nje kuwa una mimba yake wakati unajua kabisa unae mumeo?

Basi mswada huo wa fidia kwa wale wataogungulika kulea watoto wasio wao walipwe fidia, upitishwe.
 
Last edited:

UMESHAKUA..........Mama.
 
Hapo Mwana ndo kitanda kimezaa haramu.
Kumbe kiumbe ni cha mpemba..
Jamani lazima tujiulize kwa nini hawa Wapemba wanavuluga ndoa nyingi za watu?Visa kibao vinawahusisha sana hawa wapemba duh au ufukara na umaskini ndo unachangia wanawake wengi kuwababaikia wapemba?Maana wapemba ndio wenye pesa wengi wao mujini hapa na ndo wenye maduka...
Kwa mtindo huu nimekata tamaa kuoa kabisa.
 
kwani wewe hujui? wapemba wanapenda kula TIGO...

sikilizeni Dullonet Tanzania | Sikiliza Hekaheka toka mtaani na CloudsFM
 
hahahaha mzee umenifurahisha sana Yo YO kumbe watu wanapinga sana tiGo humu wkt kwa wapemba watu wanajiexpress themselves dah noma tupu.
mkuu umeisikiliza hio link niliokuwekeeni?
 
Hapo Mwana ndo kitanda kimezaa haramu.
Kumbe kiumbe ni cha mpemba..
Jamani lazima tujiulize kwa nini hawa Wapemba wanavuluga ndoa nyingi za watu?Visa kibao vinawahusisha sana hawa wapemba duh au ufukara na umaskini ndo unachangia wanawake wengi kuwababaikia wapemba?Maana wapemba ndio wenye pesa wengi wao mujini hapa na ndo wenye maduka...
Kwa mtindo huu nimekata tamaa kuoa kabisa.
Kama umekataa kufuga ng'ombe, basi maziwa usinywe!
 
Hmmh! sio wanawake peke yao! Stories za wanaume kuzaa nje zinasikika kila siku, esp. kama kwa mfano mme akifa, ndo all those revelations za watoto wa nje huwa zinatokea. Siku hizi mambo ni tit for tat.. such is life my dear.
 
Weweeeee maziwa kama kawa sasa mfugaji atamuuzia nani maziwa?Kama sio mimi...
Kama ni hivyo, tegemea maziwa yaliyoongezwa maji kila siku. Unadhani unakunywa maziwa kumbe maji ya mferejini!
 
Mie naona huyo mama mumewe alikuwa hamridhishi, hamfikishi kunako. kazi kweli kweli! Hizi cheat jamani!
 
Masanilo na Fidel80 ni wapemba wale?

Ha ha ha hawa wanadai when you're in rome....lakini jamani haya mambo ya TIGO si kweli kwamba yako Pwani tu yameenea hata huko katika remote areas za nchi yetu wanayajua mambo haya na wanayafanya. Nina marafiki zangu wengi wametia mguu katika kila kona ya Tanzania na wanadai mambo haya ya TIGO siku hizi huwezi kusema ni ya Pwani tu.
 
Back
Top Bottom