Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,125
- 7,373
Nimeamini mwanamke c wa kumuamini na c wote ILA wengi wao cjui wana fikiria kitu gani,Mfano jana kuna demu ameletwa na rafiki yake ambaye ni shem wangu basi tukapiga story sana yule demu akaonyesha dalili ya kunipenda kama unavyojua wanaume nikamuonyesha NAMI nimekufa nimeonza KUMBUKA ndo tumeonana kwa mara ya kwanza basi kwakuwa rafilki yangu amesoma mchezo akabidi ajifanya anaenda kutembea na demu wake ili mm nimalize kazi.Kweli bana tukafanya mambo vibaya mno namshukuru mungu nilikuwa na kinga bila hvyo ningekuwa katika mawazo kama Anangoma kwasabbu amejiraisisha,baada ya rafiki yangu kurudi akaniambia demu wake na huyu demu niliyekula URODA ni mtu na wifi yake,Nikamuuliza ataenda kumwambia kaka yake kama demu wake nimepiga akaniambia wanafichiana SIRI c raisi.NiMEAMINI WANAWAKE NI DHAIFU SANAAAAAAA narudia tena c wote bali wengi wao
Hivi wanawake wana akili ya mapenzi kweli?
Hivi wanaume hawajui kusema hapana kweli !
MTAKULA NA VISIVYOLIKA.. Pole kwako, kwa huyo kicheche, wifi yake, na anaetia huruma zaidi ni huyo rafiki yako..
kuna tofauti kubwa kati ya DEMU na mwanamke! naamini unazungumzia demuNimeamini mwanamke c wa kumuamini na c wote ILA wengi wao cjui wana fikiria kitu gani,Mfano jana kuna demu ameletwa na rafiki yake ambaye ni shem wangu basi tukapiga story sana yule demu akaonyesha dalili ya kunipenda kama unavyojua wanaume nikamuonyesha NAMI nimekufa nimeonza KUMBUKA ndo tumeonana kwa mara ya kwanza basi kwakuwa rafilki yangu amesoma mchezo akabidi ajifanya anaenda kutembea na demu wake ili mm nimalize kazi.Kweli bana tukafanya mambo vibaya mno namshukuru mungu nilikuwa na kinga bila hvyo ningekuwa katika mawazo kama Anangoma kwasabbu amejiraisisha,baada ya rafiki yangu kurudi akaniambia demu wake na huyu demu niliyekula URODA ni mtu na wifi yake,Nikamuuliza ataenda kumwambia kaka yake kama demu wake nimepiga akaniambia wanafichiana SIRI c raisi.NiMEAMINI WANAWAKE NI DHAIFU SANAAAAAAA narudia tena c wote bali wengi wao