Hivi wanawake wana akili ya mapenzi kweli?

kuna baadhi ya wanawake wanamapungufu ktk masuala ya mapenzi na baadhi ya wanaume pia wanamapungufu,kama kikaragosi.
 
[h=2]Hivi wanawake wana akili ya mapenzi kweli?[/h]Hivi wanaume hawajui kusema hapana kweli !

MTAKULA NA VISIVYOLIKA.. Pole kwako, kwa huyo kicheche, wifi yake, na anaetia huruma zaidi ni huyo rafiki yako..
 
jamani, sasa wewe na yeye tofauti yenu nini hapo?yaani unathubutu kusema 'wanawake wana akili ya mapenzi kweli' vipi wewe? una akili ya mapenzi kweli?nakuhakikishia wewe na yeye lenu moja, usimnyooshee kidole mana vile vingine vinakuwa vimekuelekea wewe vikisema the same words "NIMEAMINI WANAUME NI DHAIFU SANA" Kumbuka hayo mapenzi hakufanya na mti kafanya na wewe....toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndio utaona kibanzi kwenye jicho la mwenzio.Huyo dada naamini hakukushikia bastola ulijirahisi kwake. Sawa mwanakwetu?!
 
Nimeamini mwanamke c wa kumuamini na c wote ILA wengi wao cjui wana fikiria kitu gani,Mfano jana kuna demu ameletwa na rafiki yake ambaye ni shem wangu basi tukapiga story sana yule demu akaonyesha dalili ya kunipenda kama unavyojua wanaume nikamuonyesha NAMI nimekufa nimeonza KUMBUKA ndo tumeonana kwa mara ya kwanza basi kwakuwa rafilki yangu amesoma mchezo akabidi ajifanya anaenda kutembea na demu wake ili mm nimalize kazi.Kweli bana tukafanya mambo vibaya mno namshukuru mungu nilikuwa na kinga bila hvyo ningekuwa katika mawazo kama Anangoma kwasabbu amejiraisisha,baada ya rafiki yangu kurudi akaniambia demu wake na huyu demu niliyekula URODA ni mtu na wifi yake,Nikamuuliza ataenda kumwambia kaka yake kama demu wake nimepiga akaniambia wanafichiana SIRI c raisi.NiMEAMINI WANAWAKE NI DHAIFU SANAAAAAAA narudia tena c wote bali wengi wao

mie nadhani wewe na yeye wote akili zenu zinafanana. Yeye kakupa na wewe umepokea
 
Hivi wanawake wana akili ya mapenzi kweli?

Hivi wanaume hawajui kusema hapana kweli !

MTAKULA NA VISIVYOLIKA.. Pole kwako, kwa huyo kicheche, wifi yake, na anaetia huruma zaidi ni huyo rafiki yako..

amenistaajabisha huyo rafiki yake aliposema wanafichiana siri
 
Nimeamini mwanamke c wa kumuamini na c wote ILA wengi wao cjui wana fikiria kitu gani,Mfano jana kuna demu ameletwa na rafiki yake ambaye ni shem wangu basi tukapiga story sana yule demu akaonyesha dalili ya kunipenda kama unavyojua wanaume nikamuonyesha NAMI nimekufa nimeonza KUMBUKA ndo tumeonana kwa mara ya kwanza basi kwakuwa rafilki yangu amesoma mchezo akabidi ajifanya anaenda kutembea na demu wake ili mm nimalize kazi.Kweli bana tukafanya mambo vibaya mno namshukuru mungu nilikuwa na kinga bila hvyo ningekuwa katika mawazo kama Anangoma kwasabbu amejiraisisha,baada ya rafiki yangu kurudi akaniambia demu wake na huyu demu niliyekula URODA ni mtu na wifi yake,Nikamuuliza ataenda kumwambia kaka yake kama demu wake nimepiga akaniambia wanafichiana SIRI c raisi.NiMEAMINI WANAWAKE NI DHAIFU SANAAAAAAA narudia tena c wote bali wengi wao
kuna tofauti kubwa kati ya DEMU na mwanamke! naamini unazungumzia demu
 
Back
Top Bottom