Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
Nimekuwa na uhusiano na mpenz wangu kwa mda mrefu but now nimekuwa mbali naye kwa sababu za kimasomo mana nipo ugenini(abroad) kwa hiyo mawasiliano yetu yalibaki kwa njia ya mitandao mpaka sasa,au kutumia social network kwa mfano facebook n.k....but nimekuwa nikipata maneno kuwa anatembea na boss wake wa kazi na wapo close sana but nikapuuza kwamba inawezekana ni maneno ya watu,but cha kushangaza ni kama hana tabia kama ya mwanzo,ni mbishi sana,nilimwuliza kuhusu hilo swala yeye na boss wake akaikana na kusema namsingizia.but kinachonipa wasiwasi ni mara chache yeye kupokea simu yangu usiku,na akipokea anakuwa na sauti ya chini sana kiasi kwamba sisimkii vizuri kitu kinachonifanya mi kuhisi labda akiwa na mtu anajiandaa kwenda mahali na simu ili apokee,na mara nyingi anazima simu usiku kwa kisingizio cha umeme kukatika kwahiyo simu haina chaji,but kweli ninahisi amebadilika mana hata majibu yake siku hizi ni mabaya mno,ila nimewahi kumwambia tuachane but hilo swala nikisema anaanza kulia wakati tunapobishana ni ngumu kuelewa na bado hizo story yeye na boss wake bado nazipata sana.
ninapomwambia tuachane na kuanza kulia ni usanii au kweli ananipenda??
Na nifanye nini kama ni kweli ana uhusiano na boss?mana kila rafiki yangu ananiambia ila yeye anabisha,?nikisema tuachane analia
ninapomwambia tuachane na kuanza kulia ni usanii au kweli ananipenda??
Na nifanye nini kama ni kweli ana uhusiano na boss?mana kila rafiki yangu ananiambia ila yeye anabisha,?nikisema tuachane analia