Hivi wanawake wanapolia kwa machozi kuna ukweli au usanii?

Hivi wanawake wanapolia kwa machozi kuna ukweli au usanii?

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Nimekuwa na uhusiano na mpenz wangu kwa mda mrefu but now nimekuwa mbali naye kwa sababu za kimasomo mana nipo ugenini(abroad) kwa hiyo mawasiliano yetu yalibaki kwa njia ya mitandao mpaka sasa,au kutumia social network kwa mfano facebook n.k....but nimekuwa nikipata maneno kuwa anatembea na boss wake wa kazi na wapo close sana but nikapuuza kwamba inawezekana ni maneno ya watu,but cha kushangaza ni kama hana tabia kama ya mwanzo,ni mbishi sana,nilimwuliza kuhusu hilo swala yeye na boss wake akaikana na kusema namsingizia.but kinachonipa wasiwasi ni mara chache yeye kupokea simu yangu usiku,na akipokea anakuwa na sauti ya chini sana kiasi kwamba sisimkii vizuri kitu kinachonifanya mi kuhisi labda akiwa na mtu anajiandaa kwenda mahali na simu ili apokee,na mara nyingi anazima simu usiku kwa kisingizio cha umeme kukatika kwahiyo simu haina chaji,but kweli ninahisi amebadilika mana hata majibu yake siku hizi ni mabaya mno,ila nimewahi kumwambia tuachane but hilo swala nikisema anaanza kulia wakati tunapobishana ni ngumu kuelewa na bado hizo story yeye na boss wake bado nazipata sana.
ninapomwambia tuachane na kuanza kulia ni usanii au kweli ananipenda??
Na nifanye nini kama ni kweli ana uhusiano na boss?mana kila rafiki yangu ananiambia ila yeye anabisha,?nikisema tuachane analia
 
Uaivunje mahusiano yako kwa maneno ya kuambiwa tu...fanya uchunguzi ukishajiridhisha na ukweli mambo ndo uamue kama unampenda kiasi cha kuwa tayari kufanywa mjing au kusonga mbele.Ohhh alafu sio kila anaelia analia kweli!
 
Hizo dalili naona zina nguvu mana sidhani kama wewe ni mjinga mpaka uone kuna tofauti... Inawezekana bado anakuhitaji but pia anamtaka Boss kwa mda... Pole na matatizo..
 
but cha kushanganza hata huyo boss nasikia anfahamu details zangu,nipo wapi,nafanya nini,na nilishaambiwa jina lake,rafiki yake wa karibu aliniambia kuhusu huo uhusiano but jinsi nilivyokuwa nawasiliana na huyo rafiki yake nikaanza kuona anaongea ukweli at the sametime nahisi kama rafiki yake ananitaka nikawa najiuliza may be ni kweli au anampakaza girlfriend wangu ili niwe naye
 
wewe amka
gf wako anadate na bos
cha msing tumia distance kujipanga upya
tena km ivo kupokea cm kwa matatizo basi we mpotezee akikkuliza vp mwambie masomo tyt,sna mda


fungua macho saka wengne ...dalili i mapeeeeeeeeeema sa ingekuwa ndoan itokee umesafiri kdg mbona ungeikuta mimba c yako....

SI MWAMINIFU UYO NA DALILI ZOOOOOOOOOOOOOOOTE ZAONYESHA POSITIVE

AMKAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!
 
Kwa dalili hizo weka 50%kwani bado unahisi tu huna ushahidi,usifanye
 
Kuna yafuatayo:


1.Anaweza kuwa analia amemkumbuka ex wake

:biggrin1::biggrin1::biggrin1:.
 
ijapokuwa yanayosemwa yanaweza kuwa ya kweli kuendana na mabadiliko aliyoyaona ni bora
kuendelea kufanya uchunguzi wa ziada kabla ya kutoa maamuzi ya kuachana.
 
Take care...anza upya...dalili ya mvua ni mawingu
kama huyo bosi anakufahamu kiivyo..vinginevyo labda uamue kumsamehe, anaweza kukuletea mtoto...
 
Umeshuhudia wanawake wangapi wanalia? au huyo mwanamke tu? kilichomfanya alie ni nini? ameanza kulia lini?
Halafu kwa kuwa unasikiliza maneno ya kuambiawa, basi fanya uchunguzi..tua tz kimya kimya umfume!!..marafiki wa siku hizi ni manyoka, kukupa mawazo tu hawakusaidii lolote...
 
Nina rafiki yangu alikuwa majuu miaka kadhaa ilyopita, alimuacha gf wake kwa ahadi ya kuoana mara atakapomaliza masomo. Ilikuwa kwenye kila barua (enzi zileeeeeeeeeeeeee, hamna e-maisl wala mobile phones), kulikuwa na maneno matamu ya kumpa moyo, kuwa anamsubiri! Jamaa yangu aliporudi akamtafuta sana, hamna cha barua wala nini! baada ya miaka kama 6 kupita, jamaa yangu akaoa mwanamke mwingine! Miezi michache baada ya ndoa yake akakutana na shemejie (mdogo wa gf wake), alipomdadisi akamwambia bibie alishaolewa miaka minne nyuma (yaani mwaka mmoja baada ya jamaa yangu kurudi)!
Kaka hawa dada, mama, shangazi, bibi zetu hawaaminiki! Changanya na zako, utapata jibu!!
 
Ila kuliliwa raha sana mimi niliishawahi kuliliwa na mwanamke siku mbili mfululizo, mtaa mzima na diwani wake wakaja nyumbani kuniomba nirudiane nae.
 
tatizo langu mi na yeye kuonana mpaka baada ya miezi sita
 
Tafuta kifaa kingine wakati unafanya uchunguzi! KEshamegwa huyo
 
Hapo kuna walakini, japo unatakiwa uwe Thomaso.

Ninavojua mapenzi Mungu katupa asilimia mia moja tu, hakuna 150%. Ukiwa na wawili inategemea nafasi za hao watu moyoni mwake. Mfano, unaweza pewa 70% mwenzio 30%. Anapokuwa kwenye 30% za mwenzio huwezi kumpata. Ndo hapo sababu zinakuwa nyingi mara simu haina chaji, mara nalala etc, ilimradi tuu, mwenzio apewe 30%, wakati wewe unahakika ya 70%.
Usichukue hatua yoyote ukiwa huko, subiri urudi utaona, ila jiandae kwa lolote.
 
Back
Top Bottom