Hivi wanawake wanataka nini ili kutulia?

Sema hili swali umewauliza wanawake ila kuna vidume vimekujibu. Nimeshtuka sana cha umuhimu mimi nipe tu namba yake.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Wasalamu wanajamvi

Kadada kamoja ka mtaani kwetu,sikukashobokea tangu kamekuwa hapa mtaani. Kameolewa ndoa ya kanisani mkoa jirani miezi minne iliyopita,mume anafedha na anakapenda sana.
Sasa mwezi uliopita kakanitafuta kanaomba ushauri wa shida fulan inayohusiana na ujuzi wangu nikakaelekeza. Kukawa na mawasiliano ya kawaida.
Wiki hii kamenitafuta kanasema kanahisia kali za kimapenzi juu yangu,nikashangaa mno. Ndani ya mshangao kanaanza kunitumia picha za shepu lake kalivyo siku hizi.
Niko na ndoa na hilo kanalijua,nimekazidi miaka kumi na nane, nawaza hivi nikikanyandua na ikajulikana si itakuwa fedheha ya mwaka[emoji848]
Sasa nilitaka kujua kwenu ke,hivi huwa mnataka kitu gan ili mtulie kwenye ndoa zenu?
Fukua tope
 
mwenzie uyo hapa anapendwa sana na mume wake lakini anataka nikanyandue jamaa yake ni ostadhi ako wake wa tatu lakini mchele(pesa) jamaa anao mwingi hawa wanawake
Screenshot_20230210-162136.jpg
 
Wasalamu wanajamvi

Kadada kamoja ka mtaani kwetu,sikukashobokea tangu kamekuwa hapa mtaani. Kameolewa ndoa ya kanisani mkoa jirani miezi minne iliyopita,mume anafedha na anakapenda sana.
Sasa mwezi uliopita kakanitafuta kanaomba ushauri wa shida fulan inayohusiana na ujuzi wangu nikakaelekeza. Kukawa na mawasiliano ya kawaida.
Wiki hii kamenitafuta kanasema kanahisia kali za kimapenzi juu yangu,nikashangaa mno. Ndani ya mshangao kanaanza kunitumia picha za shepu lake kalivyo siku hizi.
Niko na ndoa na hilo kanalijua,nimekazidi miaka kumi na nane, nawaza hivi nikikanyandua na ikajulikana si itakuwa fedheha ya mwaka🤔
Sasa nilitaka kujua kwenu ke,hivi huwa mnataka kitu gan ili mtulie kwenye ndoa zenu?
Tunataka size kubwa na ndogo.
 
Back
Top Bottom