Hivi wanawake wanatamani tamani kama wanaume?

Wanawake wakali ndio wanakutana zaidi na vishawishi.
Hilo ni kweli sasa kwani akikutana na vishawishi tatizo liko wapi...cha msingi na mie natomber basi. Kwanza hawawezi bandua au kuondoka na huo utamu.
U see u got view any relationship as a song....to have a great song u need both gud melody and gud lyrics.
Melody ndio ile sexual desire, ile she just turns u on at the sight of her, that combination of lust and passion. Then lyrics ndio personality ya huyo mwanamke, is she funny, reaponsible kind, a gud mother to be, helpful na vitu hivyo.
 
Mbna wapo weng tu hawana matako ila tabia zao ni mbaya na majivuno mengi na wapo wenye makalio makubwa ila wanajitambua vzur tu
 
Haya ni yako, wenzako wakigongewa wake zao ndio utaskia fulani kafumua mtu na risasi.
 
Mimi na penda good looking well manner and archivement kama hauna hata kagari ukapigilia tu mavazi na you looking good haileti maana yakuwa unavutia mtu wala humpati
 
Hii ni miongoni mwa post bora hapa jamii forum.
 
Mbna wapo weng tu hawana matako ila tabia zao ni mbaya na majivuno mengi na wapo wenye makalio makubwa ila wanajitambua vzur tu
Wewe nafikiri ujaelewa mjadala na ndugu yangu mzabzab yeye kasema anaangalia tako pekee mengine haangalii yaani kiufupi yeye mwanamke ni tako hata kama anatabia mbaya kwake haimuhusu ndio maana nimetoa hayo maelezo
 
Wanawake wananishangaa Sana Unaweza kukuta anataka wenye magari ikiwa yeye hata baiskeli hana hata ukija kuangalia Wazazi wake hakuna hata mmoja na wamemsomesha mpaka amefika hapo alipo
Tuwazoee bwana maana mwisho wa siku sie ndio tunahitaji kile kitobo
 
Tunatamani lakini sisi tunavitu vyetu. Mfano mavazi, rangi ya mtu, nywele, makalio[emoji1751]
Ko sisi tunatamaniana cc kwa cc na nimarachache sana tunatamani mwanaume.
Chukua drostdy hof ama wine yoyote unapena
 
Na ukiona mwanamke anachepuka kuna kitu anachokosa kwa mume wake. Upendo wote anahamishia kwa mchepuko na wewe anatamani hata ufutike katika USO wa Dunia ili awe huru zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…