Hivi Wanyama Wana Enjoy Sex kama Binadamu?

Hivi Wanyama Wana Enjoy Sex kama Binadamu?

Kwa maana ya kuwa wanatamani na kuchagua mpenzi mzuri kati ya wabaya?
Je Wanapizi (reach orgasm)?
Najua kuna wanyama kama bonobos na dolphins wenyewe wanafanya mapenzi kama binadamu kwa maana ya kuwa kwa starehe na kuzaliana pia..lakini viumbe kama kuku, mbu,paka,nzi, panya n.k ambao wanafanya mapenzi kwa lengo ya kuzaliana tu na siyo kustarehe,,Je wanaenjoy kama binadamu wana enjoy sex?


View attachment 127369

Duh.... hii style sio mchezo!!!
 
Wangekuwa washahamia Tigo if wanaenjoy kama binadam, it is just for reproduction to them!
 
Back
Top Bottom