Hivi wapenzi wa King'amuzi cha Azam tofauti na ligi ya Tanzania kuna nini?

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
5,950
Reaction score
11,295
Salam.Juzi nililipia azam kucheki ligi.ilipoisha sioni cha kuangalia ikarudi nilipie dstv angalau content zimeshiba
Azam movie zao za Mbc sio HD,Picha zao sio nzuri,huo ndio ukweli.

Sitangazi biashara ila azam jirekebusheni na Dstv punguzeni bei na msiondoe channel kila wakati.
 
Salam.Juzi nililipia azam kucheki ligi.ilipoisha sioni cha kuangalia ikarudi nilipie dstv angalau content zimeshibq.
Azam movie zao za Mbc sio HD,Richards zao sio nzuri,huo ndio ukweli.

Bora hata picha zingekua zinakosa ubora ila wanaweka movie mpya.
Wamejaza channel za kihindi ambazo hata hazina tafsiri ya kingereza na hizo channel za lugha ya kiswahili na kizungu ni marudio mwanzo mwisho. Kwa mwezi mmoja unaiona movie mara 3 😏😏😏
 
Salam.Juzi nililipia azam kucheki ligi.ilipoisha sioni cha kuangalia ikarudi nilipie dstv angalau content zimeshiba
Azam movie zao za Mbc sio HD,Picha zao sio nzuri,huo ndio ukweli.
Sitangazi biashara ila azam jirekebusheni na Dstv punguzeni bei na msiondoe channel kila wakati.

MI NLISHAITUPA STORE. NI BURE KABISA HAINA KITU.
 
Azam nao wamepandisha toka 25k hadi 28k
Dstv nawapenda kwenye quality na kunakoelekea azam atapata acess ya kuonesha epl na hapo ndipo atawagaragaza mbali sana dstv
 
azam TV is inevitable, ligi kuu starts on Friday. ligi kuu ina influence kubwa sana kuliko epl na hasa ukiwa mtanzania.
watu wote wanafatilia ligi kuu, epl amna mtu ana mda nayo kama zamani,

times have change. ukiangalia epl fine ila story mtaani ni ligi kuu.
utanunua zote dstv na azam Tv ila at the end utabaki azam TV due to affordability. ila dstv has better contents
 
Salam.Juzi nililipia azam kucheki ligi.ilipoisha sioni cha kuangalia ikarudi nilipie dstv angalau content zimeshibq.
Azam movie zao za Mbc sio HD,Richards zao sio nzuri,huo ndio ukweli.
Sitangazi biashara ila azam jirekebusheni na Dstv punguzeni bei na msiondoe channel kila wakati.
Udini...
 
Salam.Juzi nililipia azam kucheki ligi.ilipoisha sioni cha kuangalia ikarudi nilipie dstv angalau content zimeshiba
Azam movie zao za Mbc sio HD,Picha zao sio nzuri,huo ndio ukweli.
Sitangazi biashara ila azam jirekebusheni na Dstv punguzeni bei na msiondoe channel kila wakati.
Hawa tangu wameniharibia burudani ya kufuatilia mbio za marathon kwa kuweka kipindi Cha kiislam Cha generation change kwenye ZBC2 Sina hamu nao.

Wanachangisha watu Bei kubwa ya vifurishi ili tufuatilie michezo wao wanapeleka michezo kwenye channel za kiislam tunaanza kuhubiriwa mahubiri ya kiislam?
 
Back
Top Bottom