Hivi wapenzi wa King'amuzi cha Azam tofauti na ligi ya Tanzania kuna nini?

Salam.Juzi nililipia azam kucheki ligi.ilipoisha sioni cha kuangalia ikarudi nilipie dstv angalau content zimeshiba
Azam movie zao za Mbc sio HD,Picha zao sio nzuri,huo ndio ukweli.
Sitangazi biashara ila azam jirekebusheni na Dstv punguzeni bei na msiondoe channel kila wakati.
Tatizo DSTV hawaweki vipindi vingi vya kuchochea dini ya Hakhi, hata swala tano hawajawahi kusisitiza

Channel ya Kikafiri
 
"Sinema Zetu,,Ama Kwa Hakika ni Za Kwetu"
Channel ya kipuuzi. Wabongo hawawekezi katika kazi zao, wanaamini katika kubahatisha.
Filamu zinazooneshwa humu ni za kiwango cha chini ambazo mtu timamu hawezi kupoteza muda kutazama.

Kama kweli wana lengo la kunyanyua tasnia, wawekeze pesa kweli kama ilivyo kwenye mpira.
 
Salam.Juzi nililipia azam kucheki ligi.ilipoisha sioni cha kuangalia ikarudi nilipie dstv angalau content zimeshiba
Azam movie zao za Mbc sio HD,Picha zao sio nzuri,huo ndio ukweli.

Sitangazi biashara ila azam jirekebusheni na Dstv punguzeni bei na msiondoe channel kila wakati.
Na tangu aondoke Tido Mhando hata vile vipindi vinavyoandaliwa nao au vinavyoandaliwa kwa usimamizi wao vimekuwa vya ovyo sana.

Vipindi ni vibaya utadhani vya free channels. Hadi nadhani serikali iweke sifa na muundo wa kuandaa vipindi ili kuepuka aibu hii.

Ova
 
Pia haimaanishi kua Dstv wamekamilika,wengi wanafagilia Canal
 
Channel ya kipuuzi. Wabongo hawawekezi katika kazi zao, wanaamini katika kubahatisha.
Filamu zinazooneshwa humu ni za kiwango cha chini ambazo mtu timamu hawezi kupoteza muda kutazama.

Kama kweli wana lengo la kunyanyua tasnia, wawekeze pesa kweli kama ilivyo kwenye mpira.
Tamthilia azam hulipa 3m kwa episode, DStv 4-7m, movie azam akitoa sana 2m,sasa unajiuliza imeandaliwa kwa kiasi gani na producer kapata nini!?..movie haziwezi kukua hivyo,ndiyo content creators wanafungua youtube channel tu
 
Kuna kifurushi cha pay per view? Au labda kifurushi cha siku moja kwenye hizo decoder? Nyingi naona ni wiki na mwezi... Huo ni wizi tu.
 
Pia haimaanishi kua Dstv wamekamilika,wengi wanafagilia Cana
Tamthilia azam hulipa 3m kwa episode, DStv 4-7m, movie azam akitoa sana 2m,sasa unajiuliza imeandaliwa kwa kiasi gani na producer kapata nini!?..movie haziwezi kukua hivyo,ndiyo content creators wanafungua youtube channel tu
Movie 3 Nayo ipo vizuri,wanalipia Dstv laki na kuendelea watakua wanafaidi.
Mwisho wangu compact cha 63,000
 
Salam.Juzi nililipia azam kucheki ligi.ilipoisha sioni cha kuangalia ikarudi nilipie dstv angalau content zimeshiba
Azam movie zao za Mbc sio HD,Picha zao sio nzuri,huo ndio ukweli.

Sitangazi biashara ila azam jirekebusheni na Dstv punguzeni bei na msiondoe channel kila wakati.
Kila kisimbuzi kina changamoto zake, huyu ana hiki mwingine hana.
 
Back
Top Bottom