Salam.Juzi nililipia azam kucheki ligi.ilipoisha sioni cha kuangalia ikarudi nilipie dstv angalau content zimeshiba
Azam movie zao za Mbc sio HD,Picha zao sio nzuri,huo ndio ukweli.
Sitangazi biashara ila azam jirekebusheni na Dstv punguzeni bei na msiondoe channel kila wakati.
hata Azam akionyesha EPL itakuwa quality ya kidwanzi, DSTV itawanyoosha kivyote.Azam nao wamepandisha toka 25k hadi 28k
Dstv nawapenda kwenye quality na kunakoelekea azam atapata acess ya kuonesha epl na hapo ndipo atawagaragaza mbali sana dstv
Udini...Salam.Juzi nililipia azam kucheki ligi.ilipoisha sioni cha kuangalia ikarudi nilipie dstv angalau content zimeshibq.
Azam movie zao za Mbc sio HD,Richards zao sio nzuri,huo ndio ukweli.
Sitangazi biashara ila azam jirekebusheni na Dstv punguzeni bei na msiondoe channel kila wakati.
Hawa tangu wameniharibia burudani ya kufuatilia mbio za marathon kwa kuweka kipindi Cha kiislam Cha generation change kwenye ZBC2 Sina hamu nao.Salam.Juzi nililipia azam kucheki ligi.ilipoisha sioni cha kuangalia ikarudi nilipie dstv angalau content zimeshiba
Azam movie zao za Mbc sio HD,Picha zao sio nzuri,huo ndio ukweli.
Sitangazi biashara ila azam jirekebusheni na Dstv punguzeni bei na msiondoe channel kila wakati.