Hivi wapiga chabo huwa mnasikiaga raha gani kuchungulia wenzeni wakiwa faragha?

Hivi wapiga chabo huwa mnasikiaga raha gani kuchungulia wenzeni wakiwa faragha?

MTOTELA

Senior Member
Joined
Apr 21, 2012
Posts
159
Reaction score
196
Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu. Siku moja nilikuwa gheto na manzi yangu sasa wakati wa malovedavi manzi yangu akajakushtuka kuwa kuna mtu dirishani anatuchungulia tukiwa tunafanya mapenzi. Mimi pia nilikuja kumuona huyo jamaa siku nyingine akituchungulia sasa nikaja kujiuliza hivi huyu jamaa anajisikia raha gani kuchungulia wenzie wakifanya mapenzi sijupata jibu. Leo nimeona bora niwaulize wana JF hawa jamaa wanapataga raha gàni na kama yupo mwanaJF mpiga çhabo atuambie anapata raha gani
 
Namjua jamaa mpiga CHABO alikuwa anawalipa Wafanyakazi wa lodges ili tu wampe access ya CHABO
 
Inasikitisha sana...

Chabo ni kilevi kama vilevi vingine... chabo ni addiction, inayopumbaza ubongo wa mtu na kamwe hawezi acha...

Chabo huambatana na masterbation au punyeto...

Kuna local chabo, zile kwenye madirisha ya watu, na kuna advanced chabo zile za kwenye ma-casino...



Cc: mahondaw
 
Huo ni ugonjwa wa akili usione wanasikia raha, tayari akili zao zimeshaathirika ndiyo maana wapo namna ile. Mtafute mtaalamu yeyote yule wa masuala ya ugonjwa wa akili atakueleza, juu ya tatizo hilo.

Si raha ile, ni ugonjwa wa akili ule
 
Back
Top Bottom