Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe kuna local na advanceInasikitisha sana...
Chabo ni kilevi kama vilevi vingine... chabo ni addiction, inayopumbaza ubongo wa mtu na kamwe hawezi acha...
Chabo huambatana na masterbation au punyeto...
Kuna local chabo, zile kwenye madirisha ya watu, na kuna advanced chabo zile za kwenye ma-casino...
Cc: mahondaw
Kwa hiyo unatibikaHuo ni ugonjwa wa akili usione wanasikia raha, tayari akili zao zimeshaathirika ndiyo maana wapo namna ile. Mtafute mtaalamu yeyote yule wa masuala ya ugonjwa wa akili atakueleza, juu ya tatizo hilo.
Si raha ile, ni ugonjwa wa akili ule
Inasikitisha sana...
Chabo ni kilevi kama vilevi vingine... chabo ni addiction, inayopumbaza ubongo wa mtu na kamwe hawezi acha...
Chabo huambatana na masterbation au punyeto...
Kuna local chabo, zile kwenye madirisha ya watu, na kuna advanced chabo zile za kwenye ma-casino...
Cc: mahondaw
Ndiyo unatibikaKwa hiyo unatibika
Ni matatizo ya akili tuKama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu. Siku moja nilikuwa gheto na manzi yangu sasa wakati wa malovedavi manzi yangu akajakushtuka kuwa kuna mtu dirishani anatuchungulia tukiwa tunafanya mapenzi. Mimi pia nilikuja kumuona huyo jamaa siku nyingine akituchungulia sasa nikaja kujiuliza hivi huyu jamaa anajisikia raha gani kuchungulia wenzie wakifanya mapenzi sijupata jibu. Leo nimeona bora niwaulize wana JF hawa jamaa wanapataga raha gàni na kama yupo mwanaJF mpiga çhabo atuambie anapata raha gani
Tena wa kiwango cha lamiUjinga tu
Hiyo balaa mkuu hebu andika hiyo story then unitagKupiga chabo ni ulevi kama ulevi mwingine. miji ya Tanga, Zanzibar na baadhi ya maeneo ya Dar ilikubuhu kilevi hicho. Dar hasa Kariakoo, Temeke, Buguruni, kinondoni moscow na tandika, michezo hiyo ilikuwa na memba kama klabu furani. Kwamba kuliandaliwa chumba maalum ambacho memba akiopoa wanachama hupewa mwaliko wa chabo. Eneo la Temeke wapiga chabo maarufu walikuwa wanawake. Mjini Zanzibar shughuri hiyo ilifanywa na mume na mke, nyakati za usiku hutembea na spoku ya baiskeri au uchelewa, kutoka nyumba hadi nyumba, wakitafuta penye windo. Yaani mkuu natamani hata nitunge kitabu kuhusu ulevi huo. Chabo haijali umri wala jinsia. mara nyingine watu walienda gest kwa malipo ili wakapige chabo. Baadhi ya gest jijini Dar zilitengeneza mazingira rafiki kwa wapiga chab. Ni ulevi tena siyo kidogo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]