Hivi wapiga chabo huwa mnasikiaga raha gani kuchungulia wenzeni wakiwa faragha?

Kumbe kuna local na advance
 
Huo ni ugonjwa wa akili usione wanasikia raha, tayari akili zao zimeshaathirika ndiyo maana wapo namna ile. Mtafute mtaalamu yeyote yule wa masuala ya ugonjwa wa akili atakueleza, juu ya tatizo hilo.

Si raha ile, ni ugonjwa wa akili ule
Kwa hiyo unatibika
 
Tafiti kutoka Twashindwa zinasema,mpiga chabo anafaidi sana kuliko mpiga shoo!
 

kweli kabisa love they do hamasisha
 
Kupiga chabo moja kwa moja ni kama kuchek porn kwa 3D clear hd
 
Ni matatizo ya akili tu
Huwezi ijua hiyo raha unless uwe na wewe dishi la azam kwenye mvua
 
Kupiga chabo ni ulevi kama ulevi mwingine. miji ya Tanga, Zanzibar na baadhi ya maeneo ya Dar ilikubuhu kilevi hicho. Dar hasa Kariakoo, Temeke, Buguruni, kinondoni moscow na tandika, michezo hiyo ilikuwa na memba kama klabu furani. Kwamba kuliandaliwa chumba maalum ambacho memba akiopoa wanachama hupewa mwaliko wa chabo. Eneo la Temeke wapiga chabo maarufu walikuwa wanawake. Mjini Zanzibar shughuri hiyo ilifanywa na mume na mke, nyakati za usiku hutembea na spoku ya baiskeri au uchelewa, kutoka nyumba hadi nyumba, wakitafuta penye windo. Yaani mkuu natamani hata nitunge kitabu kuhusu ulevi huo. Chabo haijali umri wala jinsia. mara nyingine watu walienda gest kwa malipo ili wakapige chabo. Baadhi ya gest jijini Dar zilitengeneza mazingira rafiki kwa wapiga chab. Ni ulevi tena siyo kidogo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Hiyo balaa mkuu hebu andika hiyo story then unitag
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…