Hivi wapiga debe wa stand huwa wanalala muda gani?

kyanyangwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
1,275
Reaction score
3,316
Nazungumzia hawa wapiga debe wa stand zilizo busy kama hii ya Magufuli. Hawa jamaa usiku na mchana wapo tu hapo stand,huwa wanapata muda wa kulala kweli?
 
Kwani, kuna kiumbe asiyelala? Na ukijua itakuwasidia au kuwasaidia nin mwanangu? Kwani, mambo muhimu ya kuhoji yameisha au umeishiwa?
 
Wakilala wataiba saa? Wote wako hivyo karibia africa nzima.
 
Nazungumzia hawa wapiga debe wa stand zilizo busy kama hii ya Magufuli. Hawa jamaa usiku na mchana wapo tu hapo stand,huwa wanapata muda wa kulala kweli?
Tunalala kwenye magari muda wowote tukibanwa na usingizi.
 
Nazungumzia hawa wapiga debe wa stand zilizo busy kama hii ya Magufuli. Hawa jamaa usiku na mchana wapo tu hapo stand,huwa wanapata muda wa kulala kweli?
Muda ambao wewe haupo ndio wanalala ukienda wana amka!
 
Hatulali
Tupo bize ukijisahau tunakuibia
Kuna mwizi na.mpiga debe hawa ni wawili tofauti, kwa maelezo hapo juu wewe ni mwizi na si mpiga debe na ndio mnaochafua kazi za wenzenu, mmejificha kwenye upiga debe mbaya Sana
 
Mbona wanashift kuna wa kulala mchana na walala usiku
 
Back
Top Bottom