Hivi wapiga kura wapya wataandikishwa lini?

Kuna haja kweli ya kuwaandikisha wakati kura zao mnaziiba.

Na kwasasa karibia kila Mtu ana NIDA hakuna tena ku bother kwenda kutafuta Kitambulisho cha Mpiga Kura.
 
Kabla ya kuuliza swali hilo ungetumia akili yako kidogo sanaa tu kuangalia miaka mingine huwa uandikishaji unaanza mwezi wa ngapi?
 
Mwakani mwakka mwaka wa uchaguzi
 
Kabla ya kuuliza swali hilo ungetumia akili yako kidogo sanaa tu kuangalia miaka mingine huwa uandikishaji unaanza mwezi wa ngapi?
Huwa hakuna swali la kijinga na wala hukupaswa kumueleza "kabla"!Jibu swali lake kwa maneno yasiyozidi kumi tu.
 
Ni kama Tume ya Taifa ya Uchaguzi imesahau kuwa Kuna wapiga kura wapya wanaotakiwa kuandikishwa.

Wapiga kura wapya wataandikishwa lini au hakuna haja ya wao kuandikishwa!!?
Tangu 1995 sijapiga kura, ila kwa ajili ya Samia, mwaka huu najiandikisha
 
Ni kama Tume ya Taifa ya Uchaguzi imesahau kuwa Kuna wapiga kura wapya wanaotakiwa kuandikishwa.

Wapiga kura wapya wataandikishwa lini au hakuna haja ya wao kuandikishwa!!?
Mbaya zaidi, wadau ambao ni wanasiasa wamekaa kimya.
 
Ni kama Tume ya Taifa ya Uchaguzi imesahau kuwa Kuna wapiga kura wapya wanaotakiwa kuandikishwa.

Wapiga kura wapya wataandikishwa lini au hakuna haja ya wao kuandikishwa!!?
HIYO SAHAU MKUU CCM HAWANA MPANGO HUO ILI WAIBE KURA VIZURI. CCM NI MAJIZI CKU ZOTE
 
Back
Top Bottom