Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Jo jipange ule ajira ya uzeeniWakati wowote kuanzia sasa
Sawa ndugu karani mwandikishaji😀Kabla ya kuuliza swali hilo ungetumia akili yao kidogo sanaa tu kuangalia miaka mingine huwa uandikishaji unaanza mwezi wa ngapi?
Safari hii naboreshea taarifa zangu huko Gangilonga.Nakuja.Ni kama Tume ya Taifa ya Uchaguzi imesahau kuwa Kuna wapiga kura wapya wanaotakiwa kuandikishwa.
Wapiga kura wapya wataandikishwa lini au hakuna haja ya wao kuandikishwa!!?
Tutakata vichwa,masikio mikono hata miguu,kutegemeana na alivyojichanganya kwa wa pika kula yake🤣Watu mna hamu ya kwenda kuwakata viongozi wenu 😂😂😂
Huwa hakuna swali la kijinga na wala hukupaswa kumueleza "kabla"!Jibu swali lake kwa maneno yasiyozidi kumi tu.Kabla ya kuuliza swali hilo ungetumia akili yako kidogo sanaa tu kuangalia miaka mingine huwa uandikishaji unaanza mwezi wa ngapi?
Zoezi litaanza kuanzia mwezi wa Tisa huko.Huwa hakuna swali la kijinga na wala hukupaswa kumueleza "kabla"!Jibu swali lake kwa maneno yasiyozidi kumi tu.
Usajili halisi au ule chakachuzi ndugu Lucas🤔Zoezi litaanza kuanzia mwezi wa Tisa huko.
Mwaka huu hakuna uchaguzi?Mwakani mwakka mwaka wa uchaguzi
Tangu 1995 sijapiga kura, ila kwa ajili ya Samia, mwaka huu najiandikishaNi kama Tume ya Taifa ya Uchaguzi imesahau kuwa Kuna wapiga kura wapya wanaotakiwa kuandikishwa.
Wapiga kura wapya wataandikishwa lini au hakuna haja ya wao kuandikishwa!!?
Kwamba,utampigia kura hadi roho yako itakasike?Tangu 1995 sijapiga kura, ila kwa ajili ya Samia, mwaka huu najiandikisha
Mkuu Lucas uandikishaji unaanzaga mwezi wa ngapi?.Kabla ya kuuliza swali hilo ungetumia akili yako kidogo sanaa tu kuangalia miaka mingine huwa uandikishaji unaanza mwezi wa ngapi?
Mbaya zaidi, wadau ambao ni wanasiasa wamekaa kimya.Ni kama Tume ya Taifa ya Uchaguzi imesahau kuwa Kuna wapiga kura wapya wanaotakiwa kuandikishwa.
Wapiga kura wapya wataandikishwa lini au hakuna haja ya wao kuandikishwa!!?
HIYO SAHAU MKUU CCM HAWANA MPANGO HUO ILI WAIBE KURA VIZURI. CCM NI MAJIZI CKU ZOTENi kama Tume ya Taifa ya Uchaguzi imesahau kuwa Kuna wapiga kura wapya wanaotakiwa kuandikishwa.
Wapiga kura wapya wataandikishwa lini au hakuna haja ya wao kuandikishwa!!?
Mmmh !Ni kama Tume ya Taifa ya Uchaguzi imesahau kuwa Kuna wapiga kura wapya wanaotakiwa kuandikishwa.
Wapiga kura wapya wataandikishwa lini au hakuna haja ya wao kuandikishwa!!?