Hivi wapiga kura wapya wataandikishwa lini?

Nadhani bado wapo ndani muda kisheria na kama inavyofahamika Uchaguzi ni mchakato. Vuta subira wakati ukifika tutaambiwa.
 
Kuna haja kweli ya kuwaandikisha wakati kura zao mnaziiba.

Na kwasasa karibia kila Mtu ana NIDA hakuna tena ku bother kwenda kutafuta Kitambulisho cha Mpiga Kura.
Kuna vijana miaka kumi na nane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…