Hivi wapo marafiki wazuri JF zaidi ya huyu niliyempata mimi?

Hivi wapo marafiki wazuri JF zaidi ya huyu niliyempata mimi?

Relief Mirzska

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2017
Posts
13,992
Reaction score
22,396
Natamani abaki kuwa "rafiki" for many years to come. Tuende zaidi ya hapa, anipigie all the time na ajiskie mpungufu asiponiskia for a day!

Kwanini nisimpe akitakacho pale atakaponiomba?? Kwanini nimkatalie yaani????

Sijawahi kujuta kumjua and let me hope kwamba sitojuta kumfahamu pia. I miss her as we have not spoken for a while now but yeah I will wait.

"A FRIEND"

Unimaginable, feelings for a "friend"
Unbelievable, She is so kind
Unthinkable, the way I did find
Ungovernable, I could now unwind.

In the same cage
As we are two birds
And we are two friends
Oh Oh Oh Oh oppps!!!!

We want to fly out
And take with us oats
Then come back late
Oh Oh Oh Oh oppps!!!!

Look how she is cute
I believe she is not a waste
You don't know how I wish
Nice she said "you shouldn't lose hope"

Pal you said, "we were going to fly"
I mentioned Hawaii, and you mentioned Dubai
I know you refused, When I said I would pay
And you said it's because, you could do it for me.

Jamani wajameni wenzangu na wadada humu kwenye jukwaa letu pendwa, never ever lose hope! Unaweza pata bahati.
 
Inaelekea hukuwahi kuwa na marafiki tokea umezaliwa au huyu msichana utakuwa unamyaka kimapenzi lkn unashindwa kumwambia huu ni uzi zaidi ya wa pili unasifia urafiki na mwanamke huyohuyo
 
Watu mna bahati zenu, mimi mbona sijawahi kupata rafiki humu?[emoji848]
Kweli bibie?? Hebu jiangalie tena. Pozi hazijazidi?? You don't act expensive as such hata kama you are! Maana hayo yanachangia sana kuwachkua potential good friends. Wadada nyie wengine mnaringa sana na masela sometimes hawapendi dharau.
 
Sikubaliani na wewe mzee. Mbona nlikaa mwaka mzima sijapata rafiki namna hii?? Nlipata rafiki flani hivi lakini it didn't work out for one or many reasons
Ukiona hivyo wewe unaandaa mazingira ya kuwa zaidi ya rafiki, kina watu humu tumepata marafiki humu na tumedumu zaidi ya miaka mitano sasa.
 
Inaelekea hukuwahi kuwa na marafiki tokea umezaliwa au huyu msichana utakuwa unamyaka kimapenzi lkn unashindwa kumwambia huu ni uzi zaidi ya wa pili unasifia urafiki na mwanamke huyohuyo
Mkuu hawa marafiki wengine hawakawii kutupiga virungu, tusipowapa kwa kuwapima tu wanatuita mibahili midume suruali, tukiwapa kwa kuwapima tu wanatamba eti wametuchuna. Sasa huyu mtu ni so different arif
 
Back
Top Bottom