Hivi wapo marafiki wazuri JF zaidi ya huyu niliyempata mimi?

Hivi wapo marafiki wazuri JF zaidi ya huyu niliyempata mimi?

Watu mna bahati zenu, mimi mbona sijawahi kupata rafiki humu?[emoji848]

Hongera kwa kujipatia rafiki mwema
Vile nakuangalia[emoji116][emoji116][emoji116]
tapatalk_1517596098051.jpeg
 
Natamani abaki kuwa "rafiki" for many years to come. Tuende zaidi ya hapa, anipigie all the time na ajiskie mpungufu asiponiskia for a day!

Kwanini nisimpe akitakacho pale atakaponiomba?? Kwanini nimkatalie yaani????

Sijawahi kujuta kumjua and let me hope kwamba sitojuta kumfahamu pia. I miss her as we have not spoken for a while now but yeah I will wait.

"A FRIEND"

Unimaginable, feelings for a "friend"
Unbelievable, She is so kind
Unthinkable, the way I did find
Ungovernable, I could now unwind.

In the same cage
As we are two birds
And we are two friends
Oh Oh Oh Oh oppps!!!!

We want to fly out
And take with us oats
Then come back late
Oh Oh Oh Oh oppps!!!!

Look how she is cute
I believe she is not a waste
You don't know how I wish
Nice she said "you shouldn't lose hope"

Pal you said, "we were going to fly"
I mentioned Hawaii, and you mentioned Dubai
I know you refused, When I said I would pay
And you said it's because, you could do it for me.

Jamani wajameni wenzangu na wadada humu kwenye jukwaa letu pendwa, never ever lose hope! Unaweza pata bahati.
Kipi special sana aisee kilichofanya mpaka ukamuandikia Thread mzee baba...Tuambizane...
 
Kipi special sana aisee kilichofanya mpaka ukamuandikia Thread mzee baba...Tuambizane...
Aiseee huyu rafiki ana-care mpaka unajishtukia na kuogopa. Her heart is soft, her voice is swift, her thought process is unique and OMG
 
Back
Top Bottom