Akikujibu nitagPromise us you won't hurt herπ‘π‘π‘π‘
Kwani vipi mzee?? Hawatoi whatsapp namba zao???Hivi hakunaga jf call
Karibu sana Mkuu, anytime ukihisi unalolote la kunishirikisha au kuuliza ubakaribishwa, hadharani au PM wewe tu.. Ila kuwa makini, kuna mabazazi pia humu.Asante kwa ushauri wako
Good then, basi usijali tutaongea na mdauHahaa! Why would I mkuu!
Kajibu lakini huku anacheka. Hivi unamuelewaje hapo???Akikujibu nitag
Asante kwa ukarimu wako.Hakika walokupata kama rafiki wamepata rafiki mwema. Nawapa pongezi!Karibu sana Mkuu, anytime ukihisi unalolote la kunishirikisha au kuuliza ubakaribishwa, hadharani au PM wewe tu.. Ila kuwa makini, kuna mabazazi pia humu.
Hahahahaahahaha!Karibu sana Mkuu, anytime ukihisi unalolote la kunishirikisha au kuuliza ubakaribishwa, hadharani au PM wewe tu.. Ila kuwa makini, kuna mabazazi pia humu.
Oooh! Kumbe kuna na kupimana tena?[emoji134]Kaa nao mbali si wema hao. Ntakupima nkikuona mambo sawa na wewe ni mwema utakuwa rafiki yangu
Hivi hakunaga jf call
KabisaaaaaaOooh! Kumbe kuna na kupimana tena?[emoji134]
Vile nakuangalia[emoji116][emoji116][emoji116]Watu mna bahati zenu, mimi mbona sijawahi kupata rafiki humu?[emoji848]
Hongera kwa kujipatia rafiki mwema
Kipi special sana aisee kilichofanya mpaka ukamuandikia Thread mzee baba...Tuambizane...Natamani abaki kuwa "rafiki" for many years to come. Tuende zaidi ya hapa, anipigie all the time na ajiskie mpungufu asiponiskia for a day!
Kwanini nisimpe akitakacho pale atakaponiomba?? Kwanini nimkatalie yaani????
Sijawahi kujuta kumjua and let me hope kwamba sitojuta kumfahamu pia. I miss her as we have not spoken for a while now but yeah I will wait.
"A FRIEND"
Unimaginable, feelings for a "friend"
Unbelievable, She is so kind
Unthinkable, the way I did find
Ungovernable, I could now unwind.
In the same cage
As we are two birds
And we are two friends
Oh Oh Oh Oh oppps!!!!
We want to fly out
And take with us oats
Then come back late
Oh Oh Oh Oh oppps!!!!
Look how she is cute
I believe she is not a waste
You don't know how I wish
Nice she said "you shouldn't lose hope"
Pal you said, "we were going to fly"
I mentioned Hawaii, and you mentioned Dubai
I know you refused, When I said I would pay
And you said it's because, you could do it for me.
Jamani wajameni wenzangu na wadada humu kwenye jukwaa letu pendwa, never ever lose hope! Unaweza pata bahati.
Ahahahhahaa! Kama humuamini hiviVile nakuangalia[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 949510
Mzaeee! Ni nini mbaya?? Umepoteaaa sanaaaaKipi special sana aisee kilichofanya mpaka ukamuandikia Thread mzee baba...Tuambizane...
πππ Baby shem usiniangalie hivyo bwanaπVile nakuangalia[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 949510
Aiseee huyu rafiki ana-care mpaka unajishtukia na kuogopa. Her heart is soft, her voice is swift, her thought process is unique and OMGKipi special sana aisee kilichofanya mpaka ukamuandikia Thread mzee baba...Tuambizane...
Baby shem tena???πππ Baby shem usiniangalie hivyo bwanaπ