Hivi wapo marafiki wazuri JF zaidi ya huyu niliyempata mimi?

Hivi wapo marafiki wazuri JF zaidi ya huyu niliyempata mimi?

no fake..its real!.. maana mie sipend jitu la kufake fake..kumbe ptu
U nailed it....ile kuanza kutafuta/ kutafutwa ni ufake mtupu!

Mi nina rafiki yangu humu, a very best friend of mine!

Kwanza tulikuwaga tunapondana wee kwenye posts za watu, ikatokeaga sijui nini hadi nimesahau kilichotufanya tuongee wote,....oooh! Alifiwa[emoji23] ....mara tukakutana kitaa yaan humu ni ana mdomo balaa but in reality jamaa ni bonge la gentleman asee....mwaka wa nne huu toka awe best...hata hapa navyochat niko nae[emoji23] [emoji23]
 
Atanangwa mpaka ujute. Watu mijicho imewatoka kodooo.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] mara paaap huyo rafiki ni WAKUFIKIRIKA yaani hayupo. [emoji39]
Ila umetuweza sisi wambea.
Kwani na wewe utamnanga pia???? Hahahahaahahaha. Rafiki wa kufkirika?? Thad atanitukanaje??? Hahahahahaha
 
Back
Top Bottom