Hivi wapo waliochomoka kimaisha kwa kutegemea mshahara wa chini ya million 1 tu?

Hivi wapo waliochomoka kimaisha kwa kutegemea mshahara wa chini ya million 1 tu?

Ukiweza kusave hiyo 65% ya mshahara, basi familia yako itakuwa inajisaidia povu. Kwa mishahara hii ya laki 8? Save that amount, and you will end up spending it in hospital because of malnutrition.
Shida tuliyonayo watanzania wengi. tunayoyadhihirisha kwa watu sio tunayoyaishi. ni utani tu.
 
Unanifanya nicheke huku nimeziba mdomo, manake watu wasije ona huyu jamaa kachizika nini!!, mkuu hapo siunaweza weka bondi hadi mke, kwani wewe unabeti?
Watu wanabet mpaka wanaudhi,ubunifu umekuwa kukodoa na mikeka tuu
 
Back
Top Bottom