Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,955
- 9,041
Kinachonishangaza wao ikipigwa nyimbo ya mondi ikiisha ni kuanza kusifu na kuabudu tu na mapambio juu kumuhusu mondi......Yaani vipindi watangazaji wanapiga kelele, hamna hata mpangilio. Halafu hakuna ubunifu kabisa. Yaani mtangazaji anakuja studio hajui hata ataongelea nn. Unakuta mtangazaji anasubiri upigwe wimbo wa Diamond halafu mada inaanza hapohapo ili mradi tu
Ile siku wanazindua masafa ya kahama alikuwepo pm wao daah ile speech yake ilinishangaza sana eti anajisifu kabisa kwenye media yeye ni bingwa wa fitina....hahahahaYaani vipindi watangazaji wanapiga kelele, hamna hata mpangilio. Halafu hakuna ubunifu kabisa. Yaani mtangazaji anakuja studio hajui hata ataongelea nn. Unakuta mtangazaji anasubiri upigwe wimbo wa Diamond halafu mada inaanza hapohapo ili mradi tu
Ila Sasa hivi Uchawa na kuabudu watu kumekuwa kwingi sana.Kinachonishangaza wao ikipigwa nyimbo ya mondi ikiisha ni kuanza kusifu na kuabudu tu na mapambio juu kumuhusu mondi......
Weledi ni kitu muhimu sana kwenye izi kazi....
Anaemuelewa dida anijuze anamuelewaje mie nimeshindwa kabisa kumuelewa naona ni mpiga makelele tu.....
Sijawahi ona ruge na majizo wanaabudiwa ivi mpaka liwepo tukio maalumu yani hawa imekua kero kabisa....Ila Sasa hivi Uchawa na kuabudu watu kumekuwa kwingi sana.
Sijui ni matokeo ya ukosefu wa Ajira au ugumu wa maisha.
Kila mwenye kitu kidogo whether pesa au madaraka kageuzwa mungu kabisa.
Mtondogoo Zari na wanaeRadio ya familia akitoka kuhojiwa mama dangote na shamte kesho yake esma na msizwa
Acha tu ni vitukoMtondogoo Zari na wanae