XaviMessIniesta
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 2,231
- 2,778
Wakisifia Pombe za Mataputapu, mawe na mahips ya mvulana wa Dsm Nani atasikiliza nyimbo hizo?Wakuu hii trend ya nyimbo za mapenzi mapenzi mbona zimeshamiri sana ndio kusema burudani pekee ni kugegeda tu?
Wasafi
Alikiba
Aslay
Nawengine wote wekeni hata idea/story basi
No wonder nyimbo zinasahaulika baada ya week mbiliBora Belle huwa anabadili mara
Nilipe nisepe
Vitamini music
Ndiyo Starehe inayopatikana kirahisi kwa Walio Maskini(Wa Pesa&Fikra) Tz tuna kundi Kubwa sana ..Ndiyo Maana Band zinazopiga Music Unaoburudisha na Kuelimisha Kama Msondo musicians Wanakufa Maskini..zimeshamiri sana ndio kusema burudani pekee ni kugegeda tu?