Hivi wasanii hakuna themes zingine tofauti na mapenzi?

Hivi wasanii hakuna themes zingine tofauti na mapenzi?

XaviMessIniesta

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
2,231
Reaction score
2,778
Wakuu hii trend ya nyimbo za mapenzi mapenzi mbona zimeshamiri sana ndio kusema burudani pekee ni kugegeda tu?
Wasafi
Alikiba
Aslay
Nawengine wote wekeni hata idea/story zingine basi
 
Wakuu hii trend ya nyimbo za mapenzi mapenzi mbona zimeshamiri sana ndio kusema burudani pekee ni kugegeda tu?
Wasafi
Alikiba
Aslay
Nawengine wote wekeni hata idea/story basi
Wakisifia Pombe za Mataputapu, mawe na mahips ya mvulana wa Dsm Nani atasikiliza nyimbo hizo?
 
Bora siye wazee na nyimbo zetu za kina ndalla kasheba tp ok jazz zaiko langalanga kina tabu ley marijani rajabu msondo ngoma kina chidumule nyimbo zenye ujumbe na mafundisho ndani yake
 
zimeshamiri sana ndio kusema burudani pekee ni kugegeda tu?
Ndiyo Starehe inayopatikana kirahisi kwa Walio Maskini(Wa Pesa&Fikra) Tz tuna kundi Kubwa sana ..Ndiyo Maana Band zinazopiga Music Unaoburudisha na Kuelimisha Kama Msondo musicians Wanakufa Maskini..
Watu Walio Wengi wanaelewa Kina Diamond..
Acha tuendelee kuisoma Namba..Lol
 
Mbona kiba ana nyimbo kibao tu tofauti na Mapenzi...

Mac Muga

Ya Karim

Mwana

Yatima

Namshukuru Mungu
 
Back
Top Bottom