Wivu unao wewe
Watu wanajali yajayo sio yaliyo pita mdada
We noma aisee...of course huku uraiani process za kutongozana zinafuatwa hivyo mwanamke anakuwa anajifikiria na kumwangalia yule mwanaume anemtongoza kama ni mtu sahihi na mwisho wa siku anakubali na ndio maana akigundua ana mwingine kinawaka kwa baadhi ya watu tofauti na upande mwingine ambapo mtu anaingia sehemu huku akijua kabisa yule alikuwa na yule na huyu alikuwa na huyu (nguvu ya tamaa inawaongoza ama jina la yule mtu)Mie hata jamaa nliemuacha enzi za vita vya maji maji nkimuona leo yupo na friend angu nita.....
Hata mie siweziKuna party zinatokea wanajikuta 10 wamemshea mmoja nayy yumo humohumo,,,dooo. Mi siwezi
aiseeeeeeeeeeeeKama mimi na Reginald Mengi, tuko poa kabisa wala hatuna shida.
Wanaafiki tu juzi mondi kamkumbatia hamisa chozi limemtokaa wana hisia km wengine pia ila tamaa za fedha zinatawala ktk maisha yaoKumbe, Wema alishawahi sema mwanaume aliempenda kuliko ni kanumba ila still hakua na wivu na Lulu wana mioyo mizuri
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kama mimi na Reginald Mengi, tuko poa kabisa wala hatuna shida.
Kumbe, Wema alishawahi sema mwanaume aliempenda kuliko ni kanumba ila still hakua na wivu na Lulu wana mioyo mizuri
Kama Mimi na kanye west tuko poa tu japokuwa nimemwachia Kim.Kama mimi na Reginald Mengi, tuko poa kabisa wala hatuna shida.
Mr Blue na Diamond wapo vip?
TID NA diamond wako poa ?
Kuna tofauti kati ya kupenda na tamaa ya ngono/tamaa ya fedha. Mwanamme anapochukuwa Changudoa anafanya hivyo kwasababu ya tamaa ya ngono na siyo mapenzi. Na anafanya hivyo akijuwa jana na juzi walikuja wengine wakamchukuwa na kesho na keshokutwa watakuja wengine na watamchukuwa lakini haoni wivu. Na huyo changu pia anajua huyu mwanamme kesho ataenda kwingine lakini haoni shida kwani haja yake ni fedha. Hao wasanii wanaangukia kwenye hili kundi.Huwa najikuta tu nawaza, mtaani kina da Mwaju wakijua wameshea au kuibiana mwanaume watazichapa si kitoto, ngumi za kuchana shumizi na gagulo dera litageuka kimono. Mara chache kwa wanaume kumaindiana kisa mwanamke japo inatokeaga pia.
Cha kushangaza kwa wasanii huwa ni tofauti utakuta wameshea, wamechukuliana ila zinaiva tu na kuitana dada, brother hivi hawana wivu?
Wema, Wolper, Jokate na Penny hawa ni wapenzi wa zamani wa Simba ila wanaiva tu bila shida.
Lulu na Wema ni marafiki zinaiva na walishawahi kuwa wapenzi wa Kanumba.
Wolper na Hamisa hawa walishakua wapenzi wa Diamond ila wako poa kabisa.
Majizzo na Diamond ni waume wenza kwa Hamisa wote wamezaa nae ila wako poa na wanasapotiana kazi zao.
Idris na Diamond ni waume wenza kwa Wema na wako sawa tu.
Aunt Ezekiel na Mwengi hawa ni wazazi wenzie Moze Iyobo na wako poa wanapostiana picha zao. Na wengine wengi.
Nawaza tu!
Hao nadhani huwa wanapendana kiukweliWanaafiki tu juzi mondi kamkumbatia hamisa chozi limemtokaa wana hisia km wengine pia ila tamaa za fedha zinatawala ktk maisha yao