Hivi wasanii huwa hawana wivu kwenye mapenzi?

Hivi wasanii huwa hawana wivu kwenye mapenzi?

Mie hata jamaa nliemuacha enzi za vita vya maji maji nkimuona leo yupo na friend angu nita.....
We noma aisee...of course huku uraiani process za kutongozana zinafuatwa hivyo mwanamke anakuwa anajifikiria na kumwangalia yule mwanaume anemtongoza kama ni mtu sahihi na mwisho wa siku anakubali na ndio maana akigundua ana mwingine kinawaka kwa baadhi ya watu tofauti na upande mwingine ambapo mtu anaingia sehemu huku akijua kabisa yule alikuwa na yule na huyu alikuwa na huyu (nguvu ya tamaa inawaongoza ama jina la yule mtu)
 
Huo ni usanii tu wanaufanya lakini behind the scene hawapatani hata kidigo
 
Mr Blue na Diamond wapo vip?

TID NA diamond wako poa ?
 
Majina ya walomega na walomegwa kujirudia kwenye posti yako,kuna shida mahala "tuanzie hapo kwanza"
 
Nawaza tu muandishi wa hii makala sijui ulifikiria kitu gani mpaka kuja na hii makala,binafsi kama nafukuzia totoz fulani nikijua fulani aliosha rungu halafu namjua,aaaggggggggh!
Nasitisha mbio za kufukuzia,hua nawaza fulani yule amecum kwenye ile papuch nami nakwenda pale,big noo.
Nisipomjua nakwenda kwa spidi zote maana najua hapo yajayo nayafurahisha.
 
Huwa najikuta tu nawaza, mtaani kina da Mwaju wakijua wameshea au kuibiana mwanaume watazichapa si kitoto, ngumi za kuchana shumizi na gagulo dera litageuka kimono. Mara chache kwa wanaume kumaindiana kisa mwanamke japo inatokeaga pia.

Cha kushangaza kwa wasanii huwa ni tofauti utakuta wameshea, wamechukuliana ila zinaiva tu na kuitana dada, brother hivi hawana wivu?

Wema, Wolper, Jokate na Penny hawa ni wapenzi wa zamani wa Simba ila wanaiva tu bila shida.

Lulu na Wema ni marafiki zinaiva na walishawahi kuwa wapenzi wa Kanumba.

Wolper na Hamisa hawa walishakua wapenzi wa Diamond ila wako poa kabisa.

Majizzo na Diamond ni waume wenza kwa Hamisa wote wamezaa nae ila wako poa na wanasapotiana kazi zao.

Idris na Diamond ni waume wenza kwa Wema na wako sawa tu.

Aunt Ezekiel na Mwengi hawa ni wazazi wenzie Moze Iyobo na wako poa wanapostiana picha zao. Na wengine wengi.

Nawaza tu!
Kuna tofauti kati ya kupenda na tamaa ya ngono/tamaa ya fedha. Mwanamme anapochukuwa Changudoa anafanya hivyo kwasababu ya tamaa ya ngono na siyo mapenzi. Na anafanya hivyo akijuwa jana na juzi walikuja wengine wakamchukuwa na kesho na keshokutwa watakuja wengine na watamchukuwa lakini haoni wivu. Na huyo changu pia anajua huyu mwanamme kesho ataenda kwingine lakini haoni shida kwani haja yake ni fedha. Hao wasanii wanaangukia kwenye hili kundi.
 
Back
Top Bottom