Hivi wasanii huwa hawana wivu kwenye mapenzi?

Ha ha ha possible ungekua msanii ungeona poa tu
 
Mimi huwa nawaza hivi ikutpkea msanii mmoja ana gonjwa sasa atawaambiloza wengine wote pia!!
wana roho ngumu kama za paka
Ingekuwa hivyo watu wote tungethirika,sehemu nyingine ukimwi haufiki ahahah ,we unadhani kati ya hao wote hakuna alieathirika?
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kwa kweli labda wasanii wako safe mbona sja skia mtu yeyote mwenye shida!
Ila nakumbuka wasanii wengi wa bendi enzi hizo waliambukizana ukimwi.
 
Hizo chain lazima awepo mmoja au wawili sema labda wanajitahidi kula na kunywa dawa vizuri
 
Hahaha
Una nitisha maana mimi nikija kuwa mkubwa nataka niwe msaniii

Naonaga kama wote wanadunda tuu, angekuwa mmoja ana umwa ingevuja
 
Sasa hizo nazo si kazi za kisanii?
 
Hizo chain lazima awepo mmoja au wawili sema labda wanajitahidi kula na kunywa dawa vizuri
Hakika. Nasikia Steve Nyerere kaungua. Kuna mwanadada alikua analalamika instagram kwamba kaambukizwa na Steve kwa makusudi wkt ameomba msaada wa kujbgizwa ktk bongo movie. Steve na Wema mnajua ukaribu wao. Mengine mjiongeze wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…