Hivi wasanii huwa hawana wivu kwenye mapenzi?

We unadhani wanapenda kweli au wanaangalia tu chapaa,unaweza kuta wanaume wanaowapenda hata mkokoteni hawana ila wapo kikazi zaidi ndo maana hakuna wivu
 
Wale mda wote wako kazini wanaigiza..wivu unatokea wapi sasa
 
Mie sina tatizo na Tundaman kabisa japokuwa Sabra nilimpenda sana.
 
Mr Blue na Diamond wapo vip?

TID NA diamond wako poa ?

Tofauti ya hao siyo mapenzi though wame share kwa Asari ya Taifa(wema). Tofauti Yao ni zaid ya hiyo. Ila namuongeza mtoa maada Harmonize na Diamond kwa Wolper.
 
Mimi huwa nawaza hivi ikitokea msanii mmoja ana gonjwa sasa si watawaambukizana wengine wote pia!!
wana roho ngumu kama za paka

Nami pia huwa nawaza na KUJIULIZA hivi kwanini UKIMWI wa suku hizi UNABAGUA tofauti na wazamani. Yaani huku kitaani kuna vijana innocent kabisa kwa muonekano lakini wanaondoka kwa ngoma . Lakini hawa wasanii wa SASA(wasanii wa zamani wengi wamepuputika)wanajiachia. Sitaki kuamini kama wanatumia CONDOM kwani wanakaa kwa mda mrefu katika mahusiano.
 
Ingekuwa hivyo watu wote tungethirika,sehemu nyingine ukimwi haufiki ahahah ,we unadhani kati ya hao wote hakuna alieathirika?
Hv ww hukuonaga gazeti la KIU la miaka ya nyuma walibandikwa wasanii
mbali mbali waliochapana wengi katika ile picha walishapotea wamebaki wachache tuache zinaa jameni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…