Mis powers
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 2,737
- 3,534
Kwasababu hawana really Love
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yapa maisha ni kupanga na kichaguaAlizingua
Idrisa kuna watoto wa kali tu wa kawaida angewachukua akajenga nao maisha eti ana enda kwa Wema!!
Sema ujana maji ya moto bhana
KabisaaKwasababu hawana really Love
UCHUMI UNAKUA NAFIKIRI KAMA 7 POINT FRAANII % ,NGOJA NA MIE NITEMBEEE KIFUA MBEREEEEEE.Bado mzee baba nipo mtaani natembea kifua mbereee kama nlivoambiwa
..ulitaka utukoge sie waswahili??really Love
Mr Blue na Diamond wapo vip?
TID NA diamond wako poa ?
Mimi huwa nawaza hivi ikitokea msanii mmoja ana gonjwa sasa si watawaambukizana wengine wote pia!!
wana roho ngumu kama za paka
Hv ww hukuonaga gazeti la KIU la miaka ya nyuma walibandikwa wasaniiIngekuwa hivyo watu wote tungethirika,sehemu nyingine ukimwi haufiki ahahah ,we unadhani kati ya hao wote hakuna alieathirika?
Ile chain ya wasanii wa band, nakweli wamepukutika sanaHv ww hukuonaga gazeti la KIU la miaka ya nyuma walibandikwa wasanii
mbali mbali waliochapana wengi katika ile picha walishapotea wamebaki wachache tuache zinaa jameni