Hivi wasanii wa hip hop wana magari?

Hivi wasanii wa hip hop wana magari?

Pumzi

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2013
Posts
321
Reaction score
55
Hivi hawa wasanii wa hiphop kuna hata mmoja mwenye gari?

Ukimtoa binamu na Jay?

Hapa na maanisha WEUSI, FID Q, KALA, STAMINA, ROMA, JCB, JAY MO na wengine wengi.
 
hivi hawa wasanii wa hiphop kuna hata mmoja mwenye gari? ukimtoa binamu NA JAY?.....Hapa na maanisha WEUSI,FID Q,KALA,STAMINA.,ROMA.,JCB,,JAY MO NA WENGINE WENGI.....

kuna baba mwenye nyumba....!!
 
Wewe mtoa mada una .

Si vizuri kutumia kauli hii kwa jinsi yoyote ile, kwasababu inaonyesha dharau kwa wanawake wote. Watu wenye mfumo dume (Machism) ndio wanaofikiri wanawake hawana mawazo yaliyonyooka wakati si kweli. Na nafikiri kauli hii inatumika sana Tanzania tu, sehemu nyingine ukisema hivi watakushangaa sana. Rekebisha kauli yako na uwaombe samahani watu wa jinsia ya kike wote.
 
si vizuri kutumia kauli hii kwa jinsi yoyote ile, kwasababu inaonyesha dharau kwa wanawake wote. Watu wenye mfumo dume (machism) ndio wanaofikiri wanawake hawana mawazo yaliyonyooka wakati si kweli. Na nafikiri kauli hii inatumika sana tanzania tu, sehemu nyingine ukisema hivi watakushangaa sana. Rekebisha kauli yako na uwaombe samahani watu wa jinsia ya kike wote.

mimi kitambo nimesha msamehe...hata kama nilikosea cyo sawa
 
Point ya msingi hawa majamaa hawana magari wala nin hawa wanaobeza beza na kusema gari sijui ni nin au unaona big deal ni washamba wa huko mikoani ukitaka kujua umuhimu wagari ni hivi enzi hizooo watoto wenyewe bontauni imefika weekend unataka uende slip way enzi hizo hamna mlimani city wala nin viwanja wana wengi mnakutana huko na upo sinza mixa uko na beibe utakodi taxi ? au unastay ubungo then harusi ipo golden tulip uko wewe na bi mkubwa wako ndinga hamna utakodi taxi ubungo mpaka golden tulip? bei yake unaijua au ndo utasubiria usafiri wa kwenye harusi au ugongee lift ? embu jaribuni kujiuliza nyie wakuja..kama nimekwaza mtu sorry...Overr...!!!!
 
Si vizuri kutumia kauli hii kwa jinsi yoyote ile, kwasababu inaonyesha dharau kwa wanawake wote. Watu wenye mfumo dume (Machism) ndio wanaofikiri wanawake hawana mawazo yaliyonyooka wakati si kweli. Na nafikiri kauli hii inatumika sana Tanzania tu, sehemu nyingine ukisema hivi watakushangaa sana. Rekebisha kauli yako na uwaombe samahani watu wa jinsia ya kike wote.

Ni kweli sana lakini hao wanawake unaweza kuwadhamini wakakuangusha. napenda sana kuepuka kuwa na Gender bias lakini katika mambo mengi wadada wanazingu
 
Ni kweli sana lakini hao wanawake unaweza kuwadhamini wakakuangusha. napenda sana kuepuka kuwa na Gender bias lakini katika mambo mengi wadada wanazingu

Kaka mambo ya kuzingua hayana gender, sisi ni wanaume ndo maana wanaotuzingua always wanakuwa wanawake, kama kweli tuko sahihi kwa mikasa inayotokea kila siku. Lakini ukae ukijua kuna wanaume wengi sana wanawazingua wanawake kwa njia tofauti tu.
Hapa swala hapa, ni kufikiri wanawake in general ni wachovu au hawaoni mbali zaidi ya umbea na majungu ni uongo, kwani kwenye jamii kuna wanawake wa shoka na vile vile kuna wanaume wengine hasara tu.
 
Shida yako uwezo wakufikiri kama tanki la mafuta ya gari lina full na Empty.Sasa swali gani umetuuliza eti hawa wasanii wanamagari?Ukiwa kwenye forum siku nyingine uliza maswali ambalo kila mtu anaweza kdg kuchangia.Yaani swali kama ya wanawake wavigodoro.Tumia akili sio kwavile uhuru ndio uliize pumba?
 
Back
Top Bottom