Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimewaza tu magari mkuu...kama wenzao wa bongofleva
asante wewe faida kwa familia.....Sijui unatumia kiungo gani kuingza faida
hivi hawa wasanii wa hiphop kuna hata mmoja mwenye gari? ukimtoa binamu NA JAY?.....Hapa na maanisha WEUSI,FID Q,KALA,STAMINA.,ROMA.,JCB,,JAY MO NA WENGINE WENGI.....
kuna baba mwenye nyumba....!!
Wewe mtoa mada una .
si vizuri kutumia kauli hii kwa jinsi yoyote ile, kwasababu inaonyesha dharau kwa wanawake wote. Watu wenye mfumo dume (machism) ndio wanaofikiri wanawake hawana mawazo yaliyonyooka wakati si kweli. Na nafikiri kauli hii inatumika sana tanzania tu, sehemu nyingine ukisema hivi watakushangaa sana. Rekebisha kauli yako na uwaombe samahani watu wa jinsia ya kike wote.
Si vizuri kutumia kauli hii kwa jinsi yoyote ile, kwasababu inaonyesha dharau kwa wanawake wote. Watu wenye mfumo dume (Machism) ndio wanaofikiri wanawake hawana mawazo yaliyonyooka wakati si kweli. Na nafikiri kauli hii inatumika sana Tanzania tu, sehemu nyingine ukisema hivi watakushangaa sana. Rekebisha kauli yako na uwaombe samahani watu wa jinsia ya kike wote.
Ni kweli sana lakini hao wanawake unaweza kuwadhamini wakakuangusha. napenda sana kuepuka kuwa na Gender bias lakini katika mambo mengi wadada wanazingu
Kwanini umewaza hivyo mkuu, kwanini magari na isiwe nyumba?