Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 9,524
- 13,682
Ukizisikiliza kwa makini nyimbo nyingi zilizotungwa baada ya Rais Magufuli kufariki huwezi kuacha kuwaza ni kweli na kwa dhati ya mioyo yao hawa wasanii wanamaanisha?
Au kuna kitu wanakinyemelea nyuma ya pazia! Inavyoonekana ni kama baada ya kifo hiki wengi watashindwa kuendelea kuitumikia tasnia hii au bila Magufuli wasingeweza kutoboa (Kwa lugha za mitaani)
Aidha unaweza kufikiri nchi hii imefikia kikomo na kwamba kuna majanga makubwa mno ambayo tutakabiliana nayo kwa sababu huzuni wanazoonyesha ni zaidi ya kufiwa na wazazi wao!