Hawa mimi nawaita wauza sura tu,sanaa hawaijui na ndiyo maana kazi zao hazivuki mipaka,hazina viwango.Moja ya kundi lenye mapungufu mengi kwenye jamii yetu, ni hili kundi la Wasanii wa Bongo fleva na lile la Bongo muvi. Ubunifu sifuri!!
Ukiwalinganisha na Wasanii halisi kama Capt. John Komba na Mzee Majuto, unaona kabisa wana safari ndefu sana. Mwaka wa jana walitufanyia mambo ya kipuuzi sana Watanzani! Binafsi nimetokea kuwadis sana.
Ngoja nimtwangie thimu hamfulei polepole yeye ndiyo anamajibu mathuliii ya kukujuza.Ukizisikiliza kwa makini nyimbo nyingi zilizotungwa baada ya Rais Magufuli kufariki huwezi kuacha kuwaza ni kweli na kwa dhati ya mioyo yao hawa wasanii wanamaanisha? ...
Al munafiq..,Ukizisikiliza kwa makini nyimbo nyingi zilizotungwa baada ya Rais Magufuli kufariki huwezi kuacha kuwaza ni kweli na kwa dhati ya mioyo yao hawa wasanii wanamaanisha? Au kuna kitu wanakinyemelea nyuma ya pazia! Inavyoonekana ni kama baada ya kifo hiki wengi watashindwa kuendelea kuitumikia tasnia hii au bila Magufuli wasingeweza kutoboa (Kwa lugha za mitaani)
Aidha unaweza kufikiri nchi hii imefikia kikomo na kwamba kuna majanga makubwa mno ambayo tutakabiliana nayo kwa sababu huzuni wanazoonyesha ni zaidi ya kufiwa na wazazi wao!