Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Wanaenenda kama wanamazingaombwe.Wanachezesha maboksi na vitambaa jukwaani huku chini ya meza wanafanya yao.The magical tricks!Watu wapo busy na kuiba mali za umma, wametengeneza mfumo wao wa wizi