Hivi wasichana wanaangalia nini kwa wanaume?

rafiki yangu mmoja alikuwa na mpango wa kwenda kuoga maji y akule kaole bagamoyo kwa sababu hiyo hhaaaaa mwee!!!
Hayana chochote yale. Nimeyaoga na bado napigwa vibuti kiaina
 
Na wengi wao wakishaanza kuchuja utasikia ooh, siku hizi hunipendi! ooh mbona hatuendi tena outings kama mwanzo! Kwa kawaida msichana unaemkuta sehemu za starehe au matumizi peke yake ujue keshamuumiza men mwenzako huko atokapo sasa wewe unanyemelea left - overs! ukitaka msichana zama uswazi kisha muibue kama samaki wa beach kisha mtupe unapopenda uone.
 
huyo rafiki nae...yaani mtu anamuona mdada anapita ati anamkimbilia na kuanza kuongea, ndiomaana kaambiwa ananuka, ukikutana na wa hivyo lazima tu utasikia harufu kali sana ya ukimwi
 
Haaa haaa yani ni mjadala mzuri kila mtu katoa mawazo yake kama anavyohisi lakini yote yaliyosemwa ni sahihi ila ukweli wa yaliyoongelewa na wahusika hatuyajui ila tuna hisia tu. mimi kwa ufasaha wangu nahisi turudi kwenye mada, kama sijui ni dada..? suger wa ukweli alivyoanza, wakati mwengine sisi ma men tunatabia ya kurukia hususan visura bila kuangalia kuwa wenyewe washajijua kuwa ni wazuri, hivyo inapotokea kukutana na hali kama ya mwenzetu ni vizuri kuanza mbali hasa kujaribu kupata data za visura hao kwa watu wa karibu zao kabla kuwa approach na tena kujisogeza karibu waanze kukuelewa hapo tena utajieleza, kinyume chake utachemsha Wazee walisema "kizuri chajiuza...." ni kusema hupo peke yako uliomuona mzuri na kama atamkubali kila mtu atakuwa msichana wa aina gani?
Ndo nikasema wazuri lazima uwe na staili za kuwaingia usikurupuke tu....
cheers
 
nimekumbuka kale ka msemo kao " mimi ni kisura najitambua "
harafu wewe men unaenda kuomba mzigo hapo balaa tupu
 
huyo rafiki nae...yaani mtu anamuona mdada anapita ati anamkimbilia na kuanza kuongea, ndiomaana kaambiwa ananuka, ukikutana na wa hivyo lazima tu utasikia harufu kali sana ya ukimwi

nimeipenda hii
 
hivi mnahangaika nini huko samaki samaki njooni MPIJI muona vitu mnatoooooo...achaneni na hao wa kwenye luninga
 
Kijana Approach, personality na timing kijana
 
Is true, approach counts!
 
Kijana Approach, personality na timing kijana

Exactly my sentiments! Pale Mlimani City kwa kuwa kuna mkusanyiko mkubwa wa watu wa daraja la kati na la juu, wasichana/wanawake wengi wazuri pia wanakuwepo. Sasa ukianza kuparamia mwanamke usiyemjua lazima akushangae!

Mbona wengine huwa tunakula kwa macho tu kisha tunarudi makwetu?
 

kazi mnayo.....
 

hahaha bora ule kwa macho na uendelee kushukuru kazi ya uumbaji masaki
 
hahaha bora ule kwa macho na uendelee kushukuru kazi ya uumbaji masaki

Fahari ya macho haifilisi duka jamani. Kusifia uumbaji nako pia kunatoa ''satisfaction'' tosha kabisa! Ni kiasi tu cha kuiamrisha akili yako ikubaliane na hilo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…