haa kadungwa kristapeni, cku inakuharibikia hivi hivi unaiona, jamaa kajiendea "dada ssamahani naomba kuongea na wewe kidogo".....jibu alilopewa akanywea mwenyewe.
hapa level ninayoizungumzia ni utofauti uliopo kimuonekano labda naweza kusema, kuna mtu unaweza kumuangalia hivi tu na ukaona huendani nae, kimaongezi/ustaarabu nk.
Same to you darling! Leo ntakunywa serengeti mbili kwa afya yako then ntahamia kwenye valeur kudumisha mila. Turudi kwenye mada sasa: Hivi kila mwanaume ana level yake? Utaijuaje level yako? Mi naamini mapenzi hayana level!
Si kujishaua jamani mchumba.Mara ohh mie ile bandari yote ni yangu naimiliki.Na ule uwanja wa taifa nao ni wangu mechi ikichezwa mapato yote yanaanzia kwangu.Ilimradi yeye ndio yeye.anatanguliza mijisifa badala ya mapenzi na ndipo mnapokutana na watoto wa geti kali mnakoma kuringa.Mchumba kiswahili kimenipiga chenga kidogo. Ufafanuzi hapo kwenye bold tafadhali.
Tatizo hata nyie wanaume mnapojipresent kwa wadada mnakwenda huku mkijionyesha kwa pesa na siyo nyie kama nyie mkiwa na moyo ulojaa upendo.
Xspin cheki hiyo red jana nilikuambiaje???
kwenye blue: level muhimu kaka yangu huezi sema dada uliye naye sasa au unayepanga kuwa naye hatakuwa level yako inabidi mpate kuendana endana ati la sivyo mambo hayataenda kabisa
Si kujishaua jamani mchumba.Mara ohh mie ile bandari yote ni yangu naimiliki.Na ule uwanja wa taifa nao ni wangu mechi ikichezwa mapato yote yanaanzia kwangu.Ilimradi yeye ndio yeye.anatanguliza mijisifa badala ya mapenzi na ndipo mnapokutana na watoto wa geti kali mnakoma kuringa.
Thanks God mchumba haupo hivo.You are yoursef! Iam proud of you
Hujui kuwa mkono mtupu haulambwi? Lazima utangulize chambo ili upate kitu
...jana jakobo zuma kaongeza mke wa tano.....!😀Hahaha! Wewe nawe bana! Hutaki nidumishe mila? ZD kaniruhusu, mi ntafanyaje na sitaki kumuudhi?
Hahaha! Wewe nawe bana! Hutaki nidumishe mila? ZD kaniruhusu, mi ntafanyaje na sitaki kumuudhi?
Swadakta mkuu hapo umenena ila si kila mara utangulize chambo ndo upate "thamaki". wengine chambo wanazo ila hawajui kutumia mwishowe anakosa kumvua "thamaki" yakheee!!
Punguza basi kidogo au jipumzishe kidogo upate kuimiss hiyo valeur
Nina uhakika mamaaa ZD atakubaliana nami kwa hapo maana toka xmas ni valeur tuu na wewe tutakupoteza hivihivi wallahi!!!
Swadakta mkuu hapo umenena ila si kila mara utangulize chambo ndo upate "thamaki". wengine chambo wanazo ila hawajui kutumia mwishowe anakosa kumvua "thamaki" yakheee!!
Punguza basi kidogo au jipumzishe kidogo upate kuimiss hiyo valeur
Nina uhakika mamaaa ZD atakubaliana nami kwa hapo maana toka xmas ni valeur tuu na wewe tutakupoteza hivihivi wallahi!!![/QUOTE]
Nisaidie JS ,maana naona nasingiziwa eti napenda kumnywesha valuu,Hata sitaki kusema mengi mie.
Juzijuzi pale Mlimani city nilikuwa na washkaji wawili,mshkaji mmoja alimuona binti mzuri,mzuri saana yaani mweupeeee ngozi haijakwaruzwa hata kidogo,figure imeenda shule mtembeo wake unaleta raha ukimuanaglia anavotembea,sasa huyu jamaa yetu uvumilivu ulimshinda mpaka akachukua uamuzi wa kumfuata mdada akamwage sera za kufungua 'mawasiliano tamu',tulimjibu poa,jamaa aliondoka zake,mie na mshkaji mwingine tulibaki pale samaki samaki.Baada ya muda jamaa akarudi pale alipotuacha akiwa mnyongeee kwanza tulivoona hivyo tulicheka saaana yaani sana,tukamuuliza kulikoni? alitujibu kwa neno moja tu,"unanuka!" tulicheka saana tuliposikia hilo jibu.Huyu mshkaji mwingine akamjibu kwamba yule mdada hamfai anajua dharau!
Sasa kutokana na hili,kitu ninachojiuliza bila majibu hivi hawa wasichana wanatafuta nini mpaka wanadiriki kumtamkia mtu hayo maneno kwa mwanaume? Au malezi?
Hehehehe tunasema unaishia kushika pembe wenzio wanakamua
Aaaa wapi! Ukipenda bana hamna level. Labda kama umetamani! Kupenda achana nako bana, mtu unajitosa hivyo hivyo! Hujaona watoto wa matajiri wanaolewa na wasukuma mikokoteni? Hujaona kijana wa darasa la nne anakamata mdada mwenye PhD? Au kijana wa miaka 20 anaoa jimama la 42yrs?
Nimekugongea senksi kule kwa kuonyesha msisitizo wa sentensi hizi kwa ajili ya rafiki yake muanzisha thread (jina limenitoka kiduchu)
...jana jakobo zuma kaongeza mke wa tano.....!😀