Hivi wasichana wanaangalia nini kwa wanaume?

wazee mmenishinda!
thredi siielewi tena punguzeni spidi
 
Wewe unaujua ufanisi wa valeur kwenye kudumisha mila au unasema tu? Mwambie jamaa yako ajaribu uone kama hutanikumbuka!

Ufanisi nao ukizidi huwa si mzuri Xspin kabisa. huo ufanisi ulio nao haujakutosha bado???
 
Mama yangu hakukosea aliponambia wanawake warembo wana mambo!
Pole rafiki yake Papa Mopao
 
Si unajua tena mwanamke mzuri hakosi kasoro kamwe kama sio mgawa ovyo basi mchoyo kama sio hivyo basi ana roho mbaya kama sio hivyo ni mwizi.
 
Yule naye ana matatizo mke wa tano imagine na wa sita yuko mbioni tayari nilisoma habari hiyo jana mila zote za mke wa sita tayari
Hivi kuna raha gani kuoa wanawake wengi hivyo? sori off pointi kidogo

Kudumisha Mila!
 
Ni kweli Nyama.Mie mbona imenitokea mara nyingi tu(I mean from both sides) kuna nilioona hawanifai kwa muonekano na kuna walioona siwafai pia kwa mtizamo wao.
Ila katika kuwajibu nawajibu kistaarabu ili mradi wajue siwahitaji sio kwa nyodo, hazitakiwi.Unajua haya mambo you never know bwana,usimdharau mtu yoyote.Hujafa hujaumbika.
Lakini, kwa nini tusilichukulie hili jibu positive? what if alikuwa anajaribu kuwa muwazi ili amsaidie huyo jamaa. yawezekana kweli mshkaji alikuwa ananuka, tena inawezekana hakuwa ananuka kingine ila mipombe . Imagine unaongea na mtu, harufu inayotoka ni kama mtambo wa TBL, halafu yeye yupo busy anakuimbisha, na tena ukimuangalia usoni hakuna chembe ya love bali tamaa. Na kwa bahati yake mbaya, siku hiyo umeamka on the wrong side of the bed, what do you expect?
 
Ufanisi nao ukizidi huwa si mzuri Xspin kabisa. huo ufanisi ulio nao haujakutosha bado???

Hebu m-PM ZD akufafanulie! Ila huwa naona wanapumua kwa kasi, wanataka kuning'ata, wanapiga kelele nyingi na baadaye wanalia afu hawataki niondoke kisha wivu unatamalaki. Sa sijui ndo ufanisi au kitu gani hicho.
 
Lakini, kwa nini tusilichukulie hili jibu positive? what if alikuwa anajaribu kuwa muwazi ili amsaidie huyo jamaa. yawezekana kweli mshkaji alikuwa ananuka, tena inawezekana hakuwa ananuka kingine ila mipombe . Imagine unaongea na mtu, harufu inayotoka ni kama mtambo wa TBL, halafu yeye yupo busy anakuimbisha, na tena ukimuangalia usoni hakuna chembe ya love bali tamaa. Na kwa bahati yake mbaya, siku hiyo umeamka on the wrong side of the bed, what do you expect?

pamoja na yote hayo hilo neno sio la kistaarabu, kwa mtu ambaye hamfahamiani/juani hata kidogo, better kuondoka na kumuacha hapo akiduwaa au ungemjibu vinginevo tu kistaarabu kidogo.
 
Lakini, kwa nini tusilichukulie hili jibu positive? what if alikuwa anajaribu kuwa muwazi ili amsaidie huyo jamaa. yawezekana kweli mshkaji alikuwa ananuka, tena inawezekana hakuwa ananuka kingine ila mipombe . Imagine unaongea na mtu, harufu inayotoka ni kama mtambo wa TBL, halafu yeye yupo busy anakuimbisha, na tena ukimuangalia usoni hakuna chembe ya love bali tamaa. Na kwa bahati yake mbaya, siku hiyo umeamka on the wrong side of the bed, what do you expect?

Najua hapo kwenye bold umeteleza kidogo na muda si mrefu utawataka watu radhi!
 
Lakini, kwa nini tusilichukulie hili jibu positive? what if alikuwa anajaribu kuwa muwazi ili amsaidie huyo jamaa. yawezekana kweli mshkaji alikuwa ananuka, tena inawezekana hakuwa ananuka kingine ila mipombe . Imagine unaongea na mtu, harufu inayotoka ni kama mtambo wa TBL, halafu yeye yupo busy anakuimbisha, na tena ukimuangalia usoni hakuna chembe ya love bali tamaa. Na kwa bahati yake mbaya, siku hiyo umeamka on the wrong side of the bed, what do you expect?

Carmel no bana I beg to differ.. unawezasema comment ya aina hiyo kwa mtu ambaye unamfahamu na ataekuelewa but kwa mtu mgeni mpita njia huwezi maana huwezijua reaction yake. Angetafuta maneno ya kistaarab akaufikisha ujumbe huo. Mkaka naye angenyanyua mkono kumpiga angejiteteaje?
 
Imagine unaongea na mtu, harufu inayotoka ni kama mtambo wa TBL, halafu yeye yupo busy anakuimbisha, na tena ukimuangalia usoni hakuna chembe ya love bali tamaa. Na kwa bahati yake mbaya, siku hiyo umeamka on the wrong side of the bed, what do you expect?

Dah ukiwa upata hiyo kitu ya TBL ndo mistari unashuka balaaa harufu hiyo ya TBL ni stimu na mzuka omba Mungu awe hajavuta fegi au ndumu maana mixer yake inakuwa balaa, emagine umekubali jamaa anataka ulimi hapo vp?
 
Si kujishaua jamani mchumba.Mara ohh mie ile bandari yote ni yangu naimiliki.Na ule uwanja wa taifa nao ni wangu mechi ikichezwa mapato yote yanaanzia kwangu.Ilimradi yeye ndio yeye.anatanguliza mijisifa badala ya mapenzi na ndipo mnapokutana na watoto wa geti kali mnakoma kuringa.
Thanks God mchumba haupo hivo.You are yoursef! Iam proud of you
..........dah!😀
enewei,TWENDE KAZI
 
Ni kweli Nyama.Mie mbona imenitokea mara nyingi tu(I mean from both sides) kuna nilioona hawanifai kwa muonekano na kuna walioona siwafai pia kwa mtizamo wao.
Ila katika kuwajibu nawajibu kistaarabu ili mradi wajue siwahitaji sio kwa nyodo, hazitakiwi.Unajua haya mambo you never know bwana,usimdharau mtu yoyote.Hujafa hujaumbika.
.....................i see!....
ngoja,
nitarudi baadae
 
Back
Top Bottom