mkulimamiwa
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 2,591
- 5,315
Achana na mimi, nilizaliwa tu baadaye nikasepaWewe pia ni Mtanganyika. Umechukua hatua gani dhidi ya ulicho andika zaidi ya kuja kulalamika tu humu jamvini?
Tatizo Tanganyika imesokomezwa ndani kabisa kwenye mfumo wa ccm!Hawajui baya na zuri, zuri kwao ni baya, na baya kwao ni zuri!
Samahanini Watanganyika kwa swali hili
Ukisema Watanganyika ni watu Utaje na sababu zake
Ndiyo maana mtu anaweza kuwatoa sadaka wote kabisa kwa miungu yake na msifanye chochote
Kwamba Bandari tuliwapa wawekezaji, wawekezaji ambao mpaka leo hakuna walichotuingizia... kweli kabisa?
Serikali siku hizi inatumia ushirikina na uchawi kuendesha nchi.Hawajui baya na zuri, zuri kwao ni baya, na baya kwao ni zuri!